Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,870
- 3,014
Atamwitaje demu wangu mchawi na mimi nipo kwa mfano..?[emoji110][emoji110]Hahahaha nimecheka sana
Atamwitaje demu wangu mchawi na mimi nipo kwa mfano..?[emoji110][emoji110]Hahahaha nimecheka sana
Asante, bado mwanafunzi sina ela
Mluga luga ni mtu wa aina gani mkuu?Alikuona Mluga luga ndio maana akakwambia hivyo, sijawahi kukutana na matusi ya makondakta ila nilikua bingwa wa kununua kesi hasa konda akinyanyasa wanafunzi.
Bila shaka wewe ni mwanamke mzuri sana
Takatifu duniani?Mkuu abiria walimcharukia sana nikaona ninyamaze tu alafu nilikuwa naenda sehem takatifu
Mhmh wewe ni dada wa cheka (bondia)?Alikuona Mluga luga ndio maana akakwambia hivyo, sijawahi kukutana na matusi ya makondakta ila nilikua bingwa wa kununua kesi hasa konda akinyanyasa wanafunzi.
Naam, ndie mimiMhmh wewe ni dada wa cheka (bondia)?
aisee haikubaliki kabisa [emoji3][emoji3]Atamwitaje demu wangu mchawi na mimi nipo kwa mfano..?[emoji110][emoji110]
Acha uwongo, mbona mimi nakumbuka wewe ndo ulitembelea magego.Kuna siku nipo ndani ya dala dala, kufika sehemu konda kasimamisha gari ili ampakie Dada aliyekuako pale kituoni, Dada kamwambia konda mimi siendi, dah...!! Konda akamwambia " hata hivyo hii gari haipakii wachawi.." Mbaya kwa konda hakujua kwamba yule ni demu wangu, na alikuwa pale kunisubiri..
Nilipokua naondoka na demu wangu pale kituoni nilimwacha konda anahesabu meno yaliyobakia sebuleni..
Unapata wapi ujasiri huuMwili mdogomdogo ulinisaidia sana enzi za skuli nilikua napanda bus kwa mgongo wa wakaka wa Azania/Pugu enzi hizo konda akinikatalia atachezea vitasa/kuchomwachomwa na peni za speedo sa nyingine hata nauli silipi
Unapata wapi ujasiri huu
We mtoto wa mama mambo ya daladala hujui kaa kimyaBila shaka wewe ni mwanamke mzuri sana
Kumpa konda vitasa na kumchoma na kalamu!Wakupanda au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaopanda miti acha tupite.. wapanda magari mje huku msimamishe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nipo ndani ya dala dala, kufika sehemu konda kasimamisha gari ili ampakie Dada aliyekuako pale kituoni, Dada kamwambia konda mimi siendi, dah...!! Konda akamwambia " hata hivyo hii gari haipakii wachawi.." Mbaya kwa konda hakujua kwamba yule ni demu wangu, na alikuwa pale kunisubiri..
Nilipokua naondoka na demu wangu pale kituoni nilimwacha konda anahesabu meno yaliyobakia sebuleni..