[emoji23][emoji23][emoji23] walipeana deyiwaka( day work )Nilipada daladala yangu mwenyewe nikakuta dereva simjui na konda simjui na wakanidai nauli kiroho mbaya huku konda anamhimiza dereva "ampelelekee" gari msindani wake.
Kumpa konda vitasa na kumchoma na kalamu!