Aa wapi wewe?
We si najua ukionaga hali hiyo unahamia kwa Mama pale City centre!!:dance:...Ndo uzuri wa kudeka kwa wazazi huu!
Sasa hivi polisi wanapambana na madereva wa daladala waliogoma.....ni vurugu tupu.... si unajua tena hawa Polisi wetu wamefundishwa kupiga risasi za kichwa.......
ni bora maana na huo unene wako.......labda leo utakuwa umeondoa kilo 2 umebakiwa na 86.....kazana hata zibakie 70
Si umeona eeh?
Kwa ufupi hali ni mbaya sana barabarani.
Abiria wanapata shida isiyo kifani, maana ni route-march iliyoenda shule!
Sababu:
Madereva na makondakta wa vifodi wanalalamikia suala la wao kukamatwa kila wakati na kuswekwa ndani kwa makosa yasiyo na maelezo ya kuridhisha!
Mfano, dereva akishusha abiria mahali, anakamatwa na kupigwa faini au kutupwa selo, wakati barabara za Arusha nyingi hazina vituo official!
Kuna madereva wasiopungua 5 wapo Kisongo Gereza la mkoa, na hivyo madereva wote wameamua kuwa hawatatoa huduma ya usafiri hadi hao wenzao watakapoachiliwa huru bila masharti yoyote!
kwa taarifa nilizonazo ni 34 na wengi wao ni wa barabara ya Mjini - Engosheraton na Mjini -Uswahilini ambao huwa wana-park pale karibu na CRDBSi umeona eeh?
Kwa ufupi hali ni mbaya sana barabarani.
Abiria wanapata shida isiyo kifani, maana ni route-march iliyoenda shule!
Sababu:
Madereva na makondakta wa vifodi wanalalamikia suala la wao kukamatwa kila wakati na kuswekwa ndani kwa makosa yasiyo na maelezo ya kuridhisha!
Mfano, dereva akishusha abiria mahali, anakamatwa na kupigwa faini au kutupwa selo, wakati barabara za Arusha nyingi hazina vituo official!
Kuna madereva wasiopungua 5 wapo Kisongo Gereza la mkoa, na hivyo madereva wote wameamua kuwa hawatatoa huduma ya usafiri hadi hao wenzao watakapoachiliwa huru bila masharti yoyote!
hivi nchi hii inauongozi kweli!??[/color]ndio ilikua sehemu ya kujifunzia kulenga shabaha...........uliza utaambiwa.
inakuwaje wapambane police na madereva? inamaana police wanawalazimisha madereva kuendesha magari au?
Serikali ipo inasuburi maelekezo ya Chama na Chatanda Mary yuko Dodoma .Hivi Arusha haina RPC na RC ambao wanaweza kushughulikia hilo jambo? Au Serikali ya mkoa wa Arusha ipo likizo?
kufa kufaana..Leo boda boda ni dhahabu.