Nikiwa kwenye usafiri binafsi ASUBUHI YA leo, maeneo ya JR nimeshuhudia gari, COASTER ikipopolewa mawe na kuvunjwa vunjwa vioo, na kuna baadhi ya abiria wameumizwa kwa mawe, kisa amepakia abiria!Kwa ufupi ni kwamba kila eneo la kituo kumewekwa MATEJA wanaohakiki utekelezaji wa azma yao, na vijana hao hawaelewi kitu, walishaajikatia tamaa ya maisha kiasi wanaona kuangusha tofali kwenye windscreen ni kazi ndogo!