Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 411
Tafadhari nitake radhi bwana, enzi hizo wanafunzi tunapanda daladala BUREEEEEE. Nitakukumbusha na mabasi ya Ikarusi (Kumbakumba)Mkuu wewe mwenyewe uliwahi kupanda hiyo gari au ulisimuliwa? Ha ha ha ha! Wewe kweli zee la mujini.
View attachment 59909
Mkuu wewe mwenyewe uliwahi kupanda hiyo gari au ulisimuliwa? Ha ha ha ha! Wewe kweli zee la mujini.
View attachment 59909
Enzi hizo, madaladala yalikuwa ni pick ups au canter inayobeba watu kinyume cha sheria na kuwapa kamisheni traffic, uda ilikuwa shilingi moja, mtoto thumni.... ukitaka chapchap unatoa dala.shillingi tano haikuwa inaitwa gwala bali ni dala ni ndio chanzo cha kuitwa magari hayo daladala
Enzi hizo, sikinde wakipiga shoo, unazuka na mabinti vigori wawili. mapulizo ya wakubwa tulikuwa hatuyajui jamani, ni enzi za starehe kweli kweli.
shillingi tano haikuwa inaitwa gwala bali ni dala ni ndio chanzo cha kuitwa magari hayo daladala
Enzi gani hizo? nadhani hiyo picha ya basi uliloliweka ni kabla ya daladala ambapo usafiri dar ulikuwa ni wa UDA tu na nauli shilingi 1 mtu mzima na senti 50 watotoTafadhari nitake radhi bwana, enzi hizo wanafunzi tunapanda daladala BUREEEEEE. Nitakukumbusha na mabasi ya Ikarusi (Kumbakumba)
View attachment 59908
Yaani kipindi hicho dola haikuwa na thamani saana!. Linganisha na nauli za sasa na thamani ya dola ni kama (USD 0.20 =TSH3OO) kama sijakosea. Nilitaka niwakumbushe tu enzi za Mwalimu.