ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
taarifa nilizonazo, tena za uhakika ni kuwa vibaka wanaofanya wizi wa aina hii ni watoto wa vigogo wa serikali ya sasa.
Inawezekana kabisa, cha msingi ni kuhakikisha wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.