Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake


Hata kama ni mfuasi wa ...... usiwe na hasra basi!!!!
 

Mbasha ana network zaidi ya Mzee wa misukule?
 
Kupima macho na kubakwa kunahusiana vipi?au picha ya mbakaji hubaki machoni kwa mbakwaji,naomba ufafanuzi hapa!
 

Duh, mkuu unaongea kitaalamu sana, mi sina utaalamu wowote wa sheria na siko upande wowote ila kwenye comments zako najifunza mengi.
Tatizo ni moja tu, usitukane bhana...
 

Mkuu una point kweli ila mbona una hasira sana, shusha data vizuri tu hata kama upo upande wa flora. Mimi sijui sheria ila nafikiri mtu anaweza kuchukua simu yako na kituma sms kana kwamba unatuma wewe mwenyewe. Pia sauti ya kurekodiwa inaweza kuigizwa. KUMBUKA hili bifu limekaa kifamilia zaidi. Flora alitaka sana kimkomeshea mumewe. na kwa sababu yupo karibu yake ana access na simu ya mumewe hivyo angeweza kutumia atakavyo.
 
Kupima macho na kubakwa kunahusiana vipi?au picha ya mbakaji hubaki machoni kwa mbakwaji,naomba ufafanuzi hapa!

Nadhani ni Kupima kama kuna viashiria vya mtu kubakwa kwa kutazama tu kwa macho(Observation), ni hatua ya mwanzo kabla ya kupima kipimo mahususi kwa kuchukua sampuli na kuzipima maabara.
 
Huyo Daktari(Expert) ni Fake na hajui kabisa kazi yake.
Hakupaswa hata kuitwa mahakamani kutoa ushahidi kwa kuwa ushahidi wake ni Invalid na Unprofessional. Anapaswa hata kusimamishwa kazi, kuitwa kwenye baraza la madaktari na hata kushtakiwa kwa torture ya mgonjwa.

Kwanini?
Kipimo cha maabara cha kutaka kuthibitisha kama mwanamke amebakwa au la (Vaginal Swab Analysis) kinapaswa kufanyika hasa ndani ya masaa 24 toka tukio la ubakaji kuripotiwa na kabla ya mhusika haja-disturb mazingira ya ukeni(kama kuoga au kufuta au kusafisha au kupaka uke wake) Kwani baada ya hapo kamwe hauwezi kuona kitu kama kulikuwa na ubakaji.
Sasa huyo Daktari kuamua kumpima huyo binti siku ya nane alikuwa anataka kuona nini tena?

Alichokifanya huyo Daktari is Unprofessional and Unethical.
 

Mkuu we Ndio umeongea point nashangaa wanaomsaport docta mi Sipo upande wowote lakini haitaji kwenda Shule kujua huwezi mpima mtu aliyebakwa baada YA siku nane na majibu yakawa sahihi
 

Ndo hapo sasaa....
 

Dr amesema kipimo kipo na kinatolewa "bure", unaielewa hii bure maana yake. Mwisho anakwambia hawakupima waliondoka wakarudi siku nane baadae. Ulitaka Dr awapime kwa nguvu???
 
Wadau mkisoma vyema yaliyoandikwa gazetini mtaoni jinsi huyo binti alivyojiharibia mwenyewe alipoambiwa aende maabara kupimwa akasepa akarudi baada ya zaidi ya wiki je hapo ni kosa la daktari au huyo victim? Source mwananchi la ijumaa uk wa 6.
 
Wadau mkisoma vyema yaliyoandikwa gazetini mtaoni jinsi huyo binti alivyojiharibia mwenyewe alipoambiwa aende maabara kupimwa akasepa akarudi baada ya zaidi ya wiki je hapo ni kosa la daktari au huyo victim? Source mwananchi la ijumaa uk wa 6.

Dhamira mbaya ilimsuta!! Ubaya una mwisho. Km aliumizwa au kulikuwa na ushahidi ktk sehemu zake za siri kwnn alikimbia vipimo? Hakujua kufanya hivyo ni kujinyima haki?
 

Mkuu usimlaumu dokita. Kumbuka kuwa hili bifu lipo kifamilia zaidi. Walinzi wa gwajima walikuwepo humo humo, flora naye humo humo. Pengine mipango yao hayakukaa vyema.
 
Mbona Monica Lewinsky alifanyiwa baada ya miaka 5 na ukweli ukabainika?? Wee vipi.
 
WE UNAISHI DUNIA gani,,,karibia magazeti yote yameandika hii habari

Tatizo bado anaweza kutiwa hatiani kupitia kipengele cha umrikuwa chini ya miaka 18.Kwa mujibu wa kigezo msichana chini ya umri wa miaka 18 hana uwezo wa kuridhia tendo la ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…