Umejiaje drug overdose... Kama kachomwa sumu kwa ajili ya kuuliwa unajuaje..kama kachomwa concetrated potasium au propofol unajuaje mkuu..!?Dengue haiusiki.., kitaalam tunaita drug overdose..
Kama kachomwa sindano ya sumu mtu akasepa unajuaje..!?Hawa ma-doctor wanakula sana dawa za kuongeza nguvu za kiume!zinapowazidi uwezo ndo matokeo yake hayo. R.I.P doctor!
Hawa ma-doctor wanakula sana dawa za kuongeza nguvu za kiume!zinapowazidi uwezo ndo matokeo yake hayo. R.I.P doctor!
mkuu unaumiza kichwa kwa kubishana na 'ngumbaru'Kama kachomwa sindano ya sumu mtu akasepa unajuaje..!?
Dk Raymond simyion wa hospital ya nyamagana mwanza amefariki Leo kwenye guest house iitwayo nesta karibu. Flat za Nhc ubungo
Dk huyo alijiandikisha kwenye daftari la wageni anatokea mwanza nyamagana
Amefikwa na mauti hiyo leo
Muhudumu anasema dk Raymond aliingia tangu Jana asbh awakymuona kama ka waidayake kuwaaga Ndipo mchana wakaamua kuvunja mlango nakukuta mauti imemfika
Hata hivyo polisi wanasema pembeni ya mwili wa dk Raymond kumekutwa na madawa ya kulevya na sindano tatu ambazo mbili zikiwa na damu damu
Ndugu wa marehemu wamepatikana na awakutaka uchunguzi wowote zaidi ya kupewa mwili wakauzike
Rip Raymond

Umejiaje drug overdose... Kama kachomwa sumu kwa ajili ya kuuliwa unajuaje..kama kachomwa concetrated potasium au propofol unajuaje mkuu..!?
Kama ni BIRD NEST HOTEL, nimetoka juzi yake. Ilibaki kidogo ningekuwa shuhuda.Dk Raymond simyion wa hospital ya nyamagana mwanza amefariki Leo kwenye guest house iitwayo nesta karibu. Flat za Nhc ubungo