Daktari jijini Mwanza afia gesti jijini Dar

Daktari jijini Mwanza afia gesti jijini Dar

Taarifa kutoka katika gesti hiyo zinasema marehemu alijiorodhesha kwenye kitabu cha wageni kuwa ni daktari wa Hosptali ya Nyamagana jijini Mwanza na alikuja Dar kikazi kwa muda wa wiki moja. Mauti yalimkuta akiwa na siku mbili tu tangu alipowasili.



Kuna mengi ya kujifunza katika kifo hiki, hasa kwa wale wenye tabia za kuandika majina na taarifa za uongo katika vitabu vya guest house.
Embu imagine kama angeandika taarifa za uhongo, mfano;
>yeye ni Dereva taxi,
>anatoka simanjiro,
>kaja Dar kwenye msiba,
na mbaya kama asingekuwa na kitambulisho,au kitu chochote kitachomtambulisha, unafikiri ingekuwaje?
Bytheway, R.I.P Dr.
 
Inatisha dr.kufia guest RIP hasa ikiwa katika utata namna hii !
 
Back
Top Bottom