Daktari huyu noma!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daktari huyu noma!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kashengo, Sep 4, 2012.

 1. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Dada mmoja alipata matatizo wakati alipokuwa anakojoa na akawa anaona mambo mageni ikabidi aende kwa daktari na mazungumzo yalikuwa hivi:

  DADA:Daktari mi nikikojoa mkojo ukimalizikia uwa na rangi ya brown iliyokoza

  DOKTA:Mmm! Una mda gani umefanya mapenzi? Ama huwa unafanya mara ngapi kwa siku?

  DADA:Mara ngapi kwa siku??? Kwa kweli daktari mi hufanya mara mbili tu kwa mwaka!

  DOKTA: Okey! Hapo hamna ugonjwa ila hiyo ni KUTU
   
 2. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Huyo daktari anaendelea na mgomo baridi.
   
 3. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,807
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  duh...
   
 4. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahahahahahahahahahah sasa hiyo kutu c lazima itolewe na daktareeeeeeeeee
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Dah afu msasa wakutolea kutu anao daktar tu,,,,,, inabidi apigwe msasa tu
   
 6. KML

  KML JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  msasa wake utakua balaa uo
   
 7. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahah!
   
Loading...