Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Dada mmoja alipata matatizo wakati alipokuwa anakojoa na akawa anaona mambo mageni ikabidi aende kwa daktari na mazungumzo yalikuwa hivi:
DADA😀aktari mi nikikojoa mkojo ukimalizikia uwa na rangi ya brown iliyokoza
DOKTA:Mmm! Una mda gani umefanya mapenzi? Ama huwa unafanya mara ngapi kwa siku?
DADA:Mara ngapi kwa siku??? Kwa kweli daktari mi hufanya mara mbili tu kwa mwaka!
DOKTA: Okey! Hapo hamna ugonjwa ila hiyo ni KUTU