Daktari huyu ni muuaji

Daktari huyu ni muuaji

ndio maana ni vzr mwanamke ukishajijua ni mjamzito hata kama una malarea kaonane na specialist wa wanawake, ukienda kwa hawa ma general doctor lazma litakukuta la kukukuta...
Mnhh... Kwahiyo mimba iliharibika alafu ikaharibika tena..!!?
 
Mnhh... Kwahiyo mimba iliharibika alafu ikaharibika tena..!!?
No, yani vile vidonge vilizidisha ku bleed mana mimba ilikuwa imetoka, so alipaswa kupewa vidonge vya kusaidia kupunguza damu, sasa vile vikaongeza badala ya kupunguza
 
Back
Top Bottom