Umeongea vizuri mkuu watu hawajui tu lakini specialist ndio kila kitu anajua nini anafanya kwa mhusikandio maana ni vzr mwanamke ukishajijua ni mjamzito hata kama una malarea kaonane na specialist wa wanawake, ukienda kwa hawa ma general doctor lazma litakukuta la kukukuta. kuna dada mmoja yeye mimba iliharibika akaenda hospitali akasafishwa akapewa na vidoge vya kumsaidia.
MzuriNdio mkuu anaendelea poa
Utaalamu huu umetoka nao Kilifi??Hapana sina maslahi nimeficha jina sitaki kumuaribia mtu riziki
Nafikiri neno sahihi ni UTU au UBINADAMU, neno uzalendo linaukakasi wa kisiasaHongera kwa uzalendo mkuu. Maana huo ni uzalendo grade one
Kivipi uzalendo liwe la kisiasaNafikiri neno sahihi ni UTU au UBINADAMU, neno uzalendo linaukakasi wa kisiasa
Hongera sana kwa kuokoa maisha ya huyo mama pamoja n kiumbe ambacho kipo tumboni, wataalamu wetu wakati mwingine wanatia shaka sana
Ifike mahali serikali iweke madaktari bingwa kwa ajili ya kuwahudumia wanawake na wajawazito katika vituo vyote vya afya
Mumuwe hakuwa nae alikuwa peke yakeMuwewe alikuwa wapi?
Ulimtaarifu mumewe kuwa mkewe alitaka kupewa dawa za kuharibu ujauzito?
Hongera kwa ujasiri wa kuongozana na dada mwenye ujauzito ambao haujaanza kuonekana kwa macho na ukaokoa maisha ya kiumbe.
#Once a gentleman, always handsome.