Daktari huyu hapa (MD)

We unahitaji kupiga kazi wapi....... Umeshajaribu kwenye hospitali binafsi, ama dispensary, fafanua mkuu........ N vipi kuhusu kazi out of your field, ur are a doctor know kumbuka jichanganye sio lazima uchome sindano ili maisha yaende
Hamna kazi, mashirika yanabana ajira, kila mmoja hataki kuajiri, mi shida ni kazi yoyote napiga hata kufundisha Sekondari I mradi familia ipate kula MKUUU, tutadharirika mjini hapa
 
Ulishawahi kujaribu kuomba kazi wapi na wapi....... Mi naona uende mguu kwa mguu to private hospital moja baada ya nyingine, kazi zipo sema hazitangazwi
Si rahisi kaka! Anyway najaribu.....na wewe ukipata mchongo nistue
 
Hiyo avatar yako tu haioneshi umakini, busara, na utambuzi unaohitajika kwa mtu mwenye fani yenye kuhudumia jamii.

Unaweza kuona ni jambo dogo, lakini mitandao kwa leo hii ni sehemu ya kwanza ya kupata picha ya muhusika. Nakushauri ubadilishe.
Ha ha ha jf raha
 
Batch kama tatu hivi zinalandalanda mtaani. Na huku Kairuki anaongeza masharti ya watu kupandishwa vyeo, eti mpaka MTU akasomee. Hii nchi inaendeshwa kwa vituko, jambo kuu kama hili linaamliwa chumbani, tena kitandani na watu wawili? Mnalenda mambo ya jeshi? Hizo hela za mafunzo mnazo, kama ajira tuu ni homa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom