Daktari huyu hapa (MD)

Hivi patient to physician ratio kwa Tz imefikia ngapi?
Ukitaka jibu la hili swali siku nenda hospitali uonemsululu wa idadi ya wagonjwa wanaomsubiri daktari yaani sisi hatuna hiyo kitu, yaani sisi tunaangalia siku wagonjwa wakiwa wengi shughuli utaiona na lazima uwamalize, siku wakiwa wachache ndio unaupata na mshahara ulele.
 
pole serikali haijaajiri madaktari kwa muda sasa, husijali its matter of time ajira za madaktari sio umiza kichwa,pia fuatilia nafasi za jkt zikitoka omba hata ikiwezekana omba kutokea mikoani hapa dslama utakimbizwa kwenye viwanja vya chuo na utaambulia patupu
 
Asante mkuu
 
Hiyo avatar yako tu haioneshi umakini, busara, na utambuzi unaohitajika kwa mtu mwenye fani yenye kuhudumia jamii.

Unaweza kuona ni jambo dogo, lakini mitandao kwa leo hii ni sehemu ya kwanza ya kupata picha ya muhusika. Nakushauri ubadilishe.
 
Changed
 
Back
Top Bottom