Daktari huyu alitaka kunibaka?

Mkuu Ulipaswa kumpiga Injili na kumwongoza Sala ya Toba pale pale kwenye Examination room kabla hujaondoka!
Huku ungekuja kutueleza kama bingwa wa macho alipokea Wokovu.
Umenena vema ndugu yangu. Actually, angeongeza hatua moja tu, ni wazi ningempiga Injili. Kwa stage ile nilikuwa bado sijajiridhisha kama ana nia mbaya au ndivyo walivyofundishwa kuwashika patients wakati wa eye exam. Ndio sababu nimeuliza swali hilo. Ila kwa comments nazoziona hapa, naona ni kweli alikuwa na nia ya uzinzi tu. Mungu amhurumie na kumuokoa popote pale alipo.
 
Dada tombana vya kutosha ili mawazo ya ngono yasikutawale
 
Ungetulia tu USHENYENTWE, kwani angeondoka nayo ndug mtumishi?
 
Kwani kuna mtu asiye na brain?
Mmmh, sidhani ila inategemea na namna kila mtu anavyoutumia, kama utatumia ubongo kwa namna ambavyo haikukusudiwa inawezekana ukawa by default hauna
 
Dada tombana vya kutosha ili mawazo ya ngono yasikutawale
Ndugu, humuogopi Mungu? Dunia hii inaelekea mwisho. Dalili za kuja kwa Yesu bado tu hujaziona? Tubu dhambi mapema kabla Yesu hajaja
 
Haha hua sitoinafasi aingie mwenyew😂ata ntaookua nae
 
Hu mpumbavu , wenda ulienda kumtega naye akashutuka na kusema liwale na liwe, bila shaka upo fani ya afya, pumbavu sana
Duh. Ukiongea bila kutukana hainogi?
1 Wakorintho 6:10-12
Pia wezi, walafi, walevi, watukanaji, au waongo wanaowadanganya wengine ili wawaibie hawatakuwa na sehemu katika ufalme wa Mungu.
 
Hiyo ilikuwa extreme customer care mkuu. Hakukuwa na dalili yoyote ya ubakaji hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…