TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

Ni kweli baba mchungaji ila kuna ile kitu wanaita cause of death.Je yake ni natural cause au aliugua? Apumzike kwa amani daktari bingwa Marealle

Kuugua magonjwa yasiyo ya kuambukiza na ukapata access ya matibabu ila hujapona ni natural cause of death.. vifo vya ajali na uzembe wowote ndio vinakataliwa kuwa natural cause
 
Kuugua magonjwa yasiyo ya kuambukiza na ukapata access ya matibabu ila hujapona ni natural cause of death.. vifo vya ajali na uzembe wowote ndio vinakataliwa kuwa natural cause
Natural cause of death means there are no external factors involved like suicide or homicide. Was Dkt.Marealle ill?
 
Natural cause of death means there are no external factors involved like suicide or homicide. Was Dkt.Marealle ill?

Naona umeenda ku google halafu ukacopy and paste ulichokitaka...

Kuumwa ni natural death pia.. nenda kagoogle vizuri about natural death ama kasome cause of death...

Narudia tena kuumwa ni natural death... iwe kansa, kisukari, moyo, stroke .

Accident wala suicide haiwezi kuwa natural death sababu external factor ndio imesababisha ufe.. ila ugonjwa ni internal factor...
 
Ni kweli baba mchungaji ila kuna ile kitu wanaita cause of death.Je yake ni natural cause au aliugua? Apumzike kwa amani daktari bingwa Marealle
Watu wengi ukiwemo wewe hawajui kuwa natural death ni pamoja na kuugua. Natural death is due to age or diseases. Ni nature ya binadamu. Kinyume chake ni kifo cha ajali au kupigwa mapanga,risasi etc.
 
Atangulie tu. Ukifika hapo hospitali wananata sana. Huna pesa hakuna matibabu. Washenzi sana.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi ukiwemo wewe hawajui kuwa natural death ni pamoja na kuugua. Natural death is due to age or diseases. Ni nature ya binadamu. Kinyume chake ni kifo cha ajali au kupigwa mapanga,risasi etc.
I am aware about that. Natural causes of death include homicide and suicide. Nilichokuwa nauliza ni underlying cause of death? Asante
 
Swali langu la msingi lilikuwa ni underlying cause of death.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…