Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Kila mtu ana umuhimu wake kwa taifa.Hawa ndio watu muhimu ktk taifa.
Najua ila tunazidiana.Kila mtu ana umuhimu wake kwa taifa.
Aisee!Duh mkuu huo mkono umeshonwa kama kiatu cha wamasai. Pole sana na pole kwa familia.
Duh nyie watu!Waendesha boda boda waongeze umakini barabarani, maana mtu muhimu pale
MOI ameshapungua. Daah ila huo mkono ndugu yangu, umesukwa kama mshono wa begi la ngozi, khaa, pole sana.