Daktari aliyesoma CBG

Daktari aliyesoma CBG

Hujaelewa, hao wa CBG wanakwenda kuwa madaktari wa mimea (bwanashamba)
 
Reason logically..don't use anger..physics opens your mind, radiology..cardiology..you need physics In so many aspects of medicine ..Tanzania kwa ubabaishaji!!

ni kweli kabisa bila physics utakosa msingi bora wa kuwa daktari mzuri, nephrology(GFR etc),cardiology(ECHOetc),etc......
 
why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?
 
haya mambo ya prestige yanaturudisha nyuma sana mtu wa CBG anaweza kuwa dokta mzuri kuliko wa PCB jiografia itamsaidia kujua mwenendo wa magonjwa na mazingira. au mnafikiri wanaposoma veterinary hakuna cardiology na GFR? kutibu mtu na mnyama principle ni sawasema unaongeza extra care kwa binadamu. kwenye shule ya MD physics ipo kidogo sana hata ya o-level inatosha. sema madingi wa muhimbili wamekalia utabe/prestige sana. pricnciple zilizopo kwenye chemistry kama gas laws na mambo ya osmosis yanatosha sana kuelewa sterling forces kwenye cardiology. pia kwenye chemistry mambo ya radiation yapo covered. tuacheni masifa wajama.
 
Mimi nimesoma CBG na nikapata division one ila kipindi hiko CBG hatuchaguliwi medicine wala phamarcy....Nikapata skolashipu nje ya bongo na huku nimepata nafasi ya kusoma medicine na ninaendelea vizuri tu (mwaka wa tano sasa).....sijacheki vizuri syllabus ya Muhimbili ila kwa huku mwaka wa kwanza kuna kitu kinaitwa Biophysics...tunafundishwa physics inayotumika kwenye medicine ambayo sio ngumu kihivyo....Physics ni muhimu ila sio kwamba mtu wa CBG hawezi kuifanya na kuielewa.....uchache wa nafasi hapo Tanzania ulisababisha mambo kama hayo yatokee ila kwa sasa naona nafasi zimekuwa nyingi kwa nini wasipewe nafasi......Kama una division three na CBG ana division one,itakuwa si busara kumuacha CBG aliyefaulu vizuri Biology na chemistry kuliko wewe PCB maana Biology na chemistry ndio msingi wa Medicine......Nchi za watu hata mtu aliyesoma sayansi yeyote hata PCM anaruhusiwa kufanya udaktari....Exposure kitu muhimu.....Ni hayo tu
 
Ushamba na ufinyu wa exposure ndio unaowasumbua.

wewe exposure uliyoipata ulaya mbona ilikufanya ukashindwa kuwatibu watz mpaka ukaitwa chinja chinja? Mpaka ukauchukia kabisa udaktari? Zungumzia maboresho usijifanye una exposure sana na huko nje. Mfumo wetu uliwekwa na watu wa enzi hizo unatakiwa uangaliwe upya. Kumbuka pia mfumo wa elimu yetu ulivyo mbovu itafikia hatua hakuna atakayesoma pcb, suala si kuwa daktari na wa cbg anaweza? Mbona engineering kuna kozi lazima uwe umesoma adv mathematics? Wa bam si anaweza? Tusiweke vigezo basi. Pia elimu ya kenya na tz tofauti kabisa huwezi kuilinganisha ndo maana hata kwenye vyuo vyetu waganda ndo wengi. Ndo maana us inabidi uwe na bsc kabla ya kusoma md.
 
BTW hapo Muhimbili tayari kuna madaktari ambao ni product ya CBG na wanafanya vizuri tu.......CBG akifaulu apewe nafasi....kama wangekuwa wanachukua waliofeli hiyo kesi nyingine
 
Kuna Dogo namfahamu alisoma HGL Mzumbe na Akapata scholarship ya kwenda kusoma Medicine Uturuki I think there is something wrong with our education system
 
wewe exposure uliyoipata ulaya mbona ilikufanya ukashindwa kuwatibu watz mpaka ukaitwa chinja chinja? Mpaka ukauchukia kabisa udaktari? Zungumzia maboresho usijifanye una exposure sana na huko nje. Mfumo wetu uliwekwa na watu wa enzi hizo unatakiwa uangaliwe upya. Kumbuka pia mfumo wa elimu yetu ulivyo mbovu itafikia hatua hakuna atakayesoma pcb, suala si kuwa daktari na wa cbg anaweza? Mbona engineering kuna kozi lazima uwe umesoma adv mathematics? Wa bam si anaweza? Tusiweke vigezo basi. Pia elimu ya kenya na tz tofauti kabisa huwezi kuilinganisha ndo maana hata kwenye vyuo vyetu waganda ndo wengi. Ndo maana us inabidi uwe na bsc kabla ya kusoma md.

Unamjua DR MARIA MONTESSORI?
 
why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?

they believe in physician and physics
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Fluid tupu.... umekosa kazi, tatizo la TZ kuna muda mwingi sana wa kupoteza......
 
Back
Top Bottom