Daktari aliyembusu mgonjwa wake asakwa

Daktari aliyembusu mgonjwa wake asakwa

Mwanamke Malaya Sana Huyo, Alikubali Vp Apigwe Busu Huku Akijua Ni Mke Wa Mtu? Je Mumewe Asingechungulia Angemwambia Kuhusu Busu? Mwanaume Nae Ni Boya Kama Siyo Zuzu Au Zezeta, Alishindwaje Kuingia Na Huyo Changudoa Wake?
 
Siasa bana!!asa mkuu wa wilaya iyo ishu inamuhusu nn?hiyo ni ishu ya mwenye mke akashtaki polisi,asa eti mkuu wa wilaya amewaagiza polisi,hizi ni siasa tu!



Huenda naye DC alikuwa anapakua hapo hapo
 
Inaonekana daktari na hiyo mwanamke wanajuana vyema...

Tutakuwa tunakosea ikiwa tutamhukumu huyo dr.kwa kusikiliza ushahidi wa huyu mwanaume mwenye mke na ikiwa hiyo familia ilikuwa na kisa na huyo dr.na ndipo huyo bwana akaamua kufanya kwamba amechungulia dirishani na akamwona dr.akimbusu mkewe ambaye alikuwa ni mgonjwa?. ikiwa ni kweli alimfanyia mgonjwa kitu cha tofauti na nje ya matibabu yaliyompeleka mgonjwa kwake je mgonjwa alichukua hatua gani ya kupingana na hilo jambo hata kabla mumewe kuchungulia dirishani? ama mgonjwa alikuwa taahira(punguani)?
ama alikuwa kazidiwa sana na ugonjwa gani kiasi kwamba hajitambui?.

Mimi sioni kama kuna sababu yeyote ya kumwingilia ama kumshambulia huyo dr.kwa namna yeyote na hasa kwetu sisi ambao hatuna taaluma za kidaktari,tungemshauri huyo anayedai kuwa mkewe kafanyiwa ndivyo sivyo kwenda polisi na kuchukua hatua za kisheria halafu tuiache polisi na mahakama ifanye kazi yake na sisi wengine tuendelee na shughuli zetu za maendeleo na kuyajadili mambo muhimu ya taifa letu
 
Wakuu wa wilaya naona wanakaz ya ziada


Kuna watu nchi hii wamepewa kazi lakini hawajui nini majukumu yao, watu wa aina hiyo wapo maofisini wanazuga tu, umemsahau yule waziri mdogo wa kilimo hivi karibuni amejikuta anashughulika na mambo ya elimu, huku mwingine akihangaika na masoko ya mazao ya wakulima mara ajira kwa vijana huku yeye ni mwana teknolojia
 
Kuna watu nchi hii wamepewa kazi lakini hawajui nini majukumu yao, watu wa aina hiyo wapo maofisini wanazuga tu, umemsahau yule waziri mdogo wa kilimo hivi karibuni amejikuta anashughulika na mambo ya elimu, huku mwingine akihangaika na masoko ya mazao ya wakulima mara ajira kwa vijana huku yeye ni mwana teknolojia

Kwa kweli kuna shida nadhani hawapewe mwongozo wa kazi
 
Mwanamke Malaya Sana Huyo, Alikubali Vp Apigwe Busu Huku Akijua Ni Mke Wa Mtu? Je Mumewe Asingechungulia Angemwambia Kuhusu Busu? Mwanaume Nae Ni Boya Kama Siyo Zuzu Au Zezeta, Alishindwaje Kuingia Na Huyo Changudoa Wake?

Umeona Morris hapo kuna hidden issue, sasa ona wanavyomharibia maisha Dr wa watu, jamani kweli umpeleke mkeo hospitali uishie nje ni akili hiyo labda Dr akuombe ila si kitu rahisi, any way Mungu atashughulika na roho zote zenye unafiki
 
Mytake: Watu hatari kwa wake zetu ni;

*Daktari wanao watibu wake zetu,

*Dreva wanao waendesha wake zetu,

*HouseBoy, Gardeners, Walinzi.

*Wauza duka na urembo wakina mama, wapaka rangi za kucha...

*nk.

*

Mkuu umewasahau bodaboda, hao ni hatari kweli kweli.
 
Mkuu umewasahau bodaboda, hao ni hatari kweli kweli.

hapana,bodaboda kazi yao ni kuwapeleka gesti kwa michepuko yao na kwenda kuwachukua usiku kabla waume zao hawajatoka shift ya usiku. Hawa madreva wa bidaboda wana siri nzito kuhusu wake za watu na michepuko yao.
 
Nilopoanza kusoma nilifikiri huyo Dr. kamdharirsha hy mke wa mtu kinjinsia, au kampiga busu mgonjwa akiwa hajitambui (ana ufahamu/nusu kaputi) kumbe kwa inavyoonekana ni kwa makubaliano.

Huyo mgonjwa na Dr. ni mtu na mpenz wake (mchepuko) au walishawahi kuwa wapenz. Mpaka jmaa unapata wazo la kwenda dirishani kuchungulia hapo inaonyesha huna mashaka na mkeo au unawahis hao wawil wana mahusiano sio bure.

Mbona huyo mwanamke alkuwa hapig kelele humo ndani katulia tu, huyo mwanaume aliyechingulia ndo alikuja kupiga kelele?? Afu tuelewe hapo kinachozungumziwa ni busu lile la ROMANCE (Dend...a) not a KISS.

Huyo mwanaume aende nyumban akamalizane na mkewe.

Kwako DC, this issue iz ver minor for DC to get involved in.

Daktari rudi kazin uendelee na kazi ila cc wanaume na wanawake pia tuache michepuko.

End of story.
 
Huyu mdada ni mchepuko wa mGambo. So alichofanya mgambo ni kumrongoshea mume kuhusu wife na muvu zake na dokta, kupitia jamaa mwingine.

Hili 'fumanizi' lilipangwa na mgambo.
 
Saa nyengine inahitaji moyo.....kama wife anamimba.....unajua anaweza mtia kidole mbele yako....eti anaangalia njia....

kutiwa kidole mbn kawaida kuna procedure inaitwa PVE (per vaginal examination) hapo ni vidole viwili
 
Sidhani kama hy ni daktari
Labda ni daktari uchwala

Ni daktari bana.......saa zingine kuna matibabu yanauma ujue......kama hii style ya kupiga ultrasound......ipo kama anaweka gia huko maeneo.........sasa dr alikuwa anampa pole.........tueleweni jamani......tunahitaji faraja za dr wakati wa matibabu.........
 
So interesting....Inaonekana huyo mwanamke hajapigwa busu tangu afunge ndoa na mmewe! Wanaume eeehh...mara ya mwisho ni lini mmewapiga wake zenu mabusu?
 
Kwanini yeye abaki nje wakati mkewe anachekiwa..!? kuna kitu hapo sio bure, daktari na huyo mwanamke wana jambo..!!
 
Huyu Bw. Mrisho Gambo si aliwahi kung'aka kuwa Mwansheria wa Wilaya ya Korogwe ana Digriii ya Ch*pi. KIBOKO HUYU DOGO.
 
Back
Top Bottom