DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,052
- 2,715
- Thread starter
- #1,201
HakikaMapenzi ni ujinga,mapenzi ni upuuzi,mapenzi ni upumbavu,
Ila
Mapenzi ni faraja,mapenzi ni amani,mapenzi ni kuwa na furaha
Yanii mapenzi ni indescribable
Mwamba umepitia yote big up sana imekukomaza na hutafanya maamuzi ya kijinga tena "kama wale wa redioni"kwako maana wanaopitia upande mmoja huishia kuumia au kufurahia sanaa!!!