Dakitari huyu amethubutu na ameweza

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
68
Afrimec company group tunazid kua karibu yako.ambapo chini ya kampuni hii kuna huduma zifuatazo
1.Dr Msua :Ni dakitari wa afya ya binadamu pia ana shahada ya telemedicine na family medicine ambapo yote hii ni kuhakikisha unapata huduma yake popote unapokua kwa wakati wowote(ONLINE Consultations)

2.Wound care:Ni huduma mabayo kwa sasa inatolewa kwa wakazi wa mwanza Tu huduma hii inatolewa kwa wagonjwa waliofanyiwa opareshen either kwa kujifungua au sababu yoyote au kwa wenye vidonda nya mda mrefu kama wagonjwa wa kisukari nk;ambapo unafanyiwa wound dressing nyumbani kwako kila siku.

3.HOME BASED AND FAMILY DOCTOR:Huduma pia kwa sasa inatolewa jijini mwanza pekee ambapo unafatwa nyumbani na dakitari anakuona na vipio vya damu unafanyiwa ukiwa nyumbani na majibu unaletewa nyumbani na matibabu yake pia.

hakikisha unatufollow katika
facebook :afrimectz
instagram afrimec
+255759212578


3a31f499fa77a518eca4b1e1f412facf.jpg[/IMG]
IMG_20170430_121246_710.jpg
 
Hivi jaman niulize unajiskiaje mtanzania mwenzako Mwenye taaluma husika anapomuhudumia mwenzako mfano

Mtu anakidonda na anaona usumbufu kwenda hospital au kituo cha afya dakitar anamfuata kwake na ana mdress kila Siku hili nalo ni la kupingwa ?

Hya mfano mwingine una ugonjwa wa muda mrefu dakitar anakupa option ya yeye kua anakufata nyumban na anakuattend kukiwa na umuhimu wa vipimo anachukua vipimo yeye mwenyewe na anapeleka majibu na anakuletea majibu na solution ya tatizo lako hilo nalo nilakupingwa ?
Watanzania tubadilike
Tusikalili mfumo
 
ahaaa hapa kazi tu mwambie akaze roho tu.... hakuna pesa ya bure now labda uwe mlemavu macho....
Minishajitoa, huko alipo anaburuza kesi ya wizi, na naona ameiingiza familia yake kwenye deni la haja. Yangu imekwisha na sasa anashtakiwa na jamuhuri, na kama ujuanyo jamaa wale wakishakua na ushahidi, hua wanataka mlungula tu
 
Minishajitoa, huko alipo anaburuza kesi ya wizi, na naona ameiingiza familia yake kwenye deni la haja. Yangu imekwisha na sasa anashtakiwa na jamuhuri, na kama ujuanyo jamaa wale wakishakua na ushahidi, hua wanataka mlungula tu
:D:D:D:D:D tamaa huzaa umauti kila la kher mkuu.
 
Hapa sijitangaz natangaza Huduma ninazotoa mfano kama ambavyo unaweza tangaza clinics yako ya meno nk
Mwizi mkubwa wewe. Huduma za Afya toka lini zikatangazwa?? Hujui hata miiko

Ndo madhara ya magufuli kuruhusu mabashite wajiondoe wenyewe. Matokro wanakuja mtaani kuibia watu

Ilipaswa wawekwe mahali salama
 
Mwizi mkubwa wewe. Huduma za Afya toka lini zikatangazwa?? Hujui hata miiko

Ndo madhara ya magufuli kuruhusu mabashite wajiondoe wenyewe. Matokro wanakuja mtaani kuibia watu

Ilipaswa wawekwe mahali salama
Asante geo mex
 
Lakini kama brella walikubali kunisajili kama first Tanzania online medical consultation panel na kuniruhusu kufanya branding na publicity basi niko kwenye mikono salama

Afrimec company group
 
Back
Top Bottom