Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,902
- 27,636
Natumai siku yako imeenda vizuri na una furaha. Chagua swali au maswali ambayo hutojali kuyajibu na tuzogoe pamoja.
- Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu?
- Mstari gani wa wimbo unakugusa na unaona kama unaongelea yanayoendelea maishani mwako?
- Kama ungeweza kumuuliza mwanamke yoyote swali, angekua nani na ungemuuliza nini?
- Vipi keshokutwa unatoka, unatiki au unabaki nyumbani?
- Sehemu gani ya mwili akikugusa unampa?