nifah ujumbe mzuri sana tuhimizane kwa kila mwenye uwezo. Kura yako ndio maisha yako!
Kura yangu nampa JP Magufuli. Kamwe sitaharibu kura yangu kwa kumpigia FISADI
nifah,
Lowassa ni superPower amefanya kampeni mara 4 katika uchaguzi wa mwaka huu,kura za mjini na vijijini anazo za kutosha,kumbuka huyu alikuwa ccm miezi 4 iliyopita,na kura hawawezi kuiba .
Naomba hii aione popoma DuppyConqueror maana huyu jamaa mbishi sana.
Mkuu safarihii ccm hawahitaji kuiba kura...ushindi ni laini...hapo ndo mtakapojua dhambi ya kuwasaliti watanzania na kumuweka fisadi cc Eng.LivingstoneNaomba hii aione popoma DuppyConqueror maana huyu jamaa mbishi sana.
Asante sana mkuu MANI....
Hilo ndilo lengo hasa,ushindi ni lazima upatikane kwa namna yoyote ile.
Mkuu kwa upande wangu chama kilinipa jukumu la kuratibu mawakala, zoezi limeenda vizuri kabisa na mimi ni miongoni mwa mawakala, naahidi kukitendea haki chama changu.
Mkuu safarihii ccm hawahitaji kuiba kura...ushindi ni laini...hapo ndo mtakapojua dhambi ya kuwasaliti watanzania na kumuweka fisadi cc Eng.Livingstone
Nyumbani kwangu kuna kura 8 za Rais Lowasa, Mbunge Mnyika na Diwani Kolimba.
Hatutaenda kanisani siku hiyo na tutakuwa wa kwanza kufika kituoni.
Nimetoa usafiri kwa majirani ambao wanaenda kumpigia kura Lowasa.
Majina yao nimeyakusanya, yanakaribia 30 nawaletea coaster kabisa. Wasipotosha nawapakia kwenye pick up.
Na uzuri pembeni ya kituo kuna bar kama mita 40 hivi, tutakuwa tunaangalia mechi ya Man Utd vs Man City huku macho yapo kituoni.
Bili ya walinda kura nitalipa mimi.
Mkuu safarihii ccm hawahitaji kuiba kura...ushindi ni laini...hapo ndo mtakapojua dhambi ya kuwasaliti watanzania na kumuweka fisadi cc Eng.Livingstone
Mwenyekiti kaanza kuhamisha mabilioni kinyemela...Edwadi amesema baada ya october atahamia Longido...unajua hiyo maanayake nini?Mkuu unamwaga Povu kwa kujipa matumaini ikiwa Mwenyekiti wako Kichwa kinapata moto kila Mara anazuka na mkwara mpya