Dakika za lala salama, Mwana mabadiliko umejipanga vipi?

Nifar nakupendaje...mimi Hadi hapa nishatoa elimu ya kupiga kura kwa watu zaiddi ya ishirini na kila mtu kaelimisha angalau mtu mmoja...Pia nimeshauri vijana Wa boda, taxi na bajaji na yeyote mwenye usafiri..atafute wazee au wagonjwa wasiojiweza wapenda mabadiliko awasafirishe Hadi kituon..na awarudishe. Nashauri hata wewe uhamasishe rafiki, jirani kufanya ukarimu huo!

Duuuuh!Kumbe watu mko vizuri hivi?
Kwakweli na mimi ngoja niongeze jitihada.
Kuhusu elimu ya kupiga kura naitoa sana mkuu.
The way nilivyojitolea kwa mabadiliko hadi watu wananishangaa wakidhani nalipwa!!
 
Mwenyekiti kaanza kuhamisha mabilioni kinyemela...Edwadi amesema baada ya october atahamia Longido...unajua hiyo maanayake nini?

Hajasema,aliulizwa endapo atashindwa atafanya nini?
Akajibu kuwa akishindwa atarudi zake Monduli kuchunga/kufuga ng'ombe wake.
Mbona Obama aliulizwa the same question akajibu kuwa atarudi kufundisha?
Matokeo yake nadhani uliyaona....
C'mon DuppyConqueror,siasa zisikutoe fahamu kiasi hiki.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye familia yangu kulikuwa na watu wawili mashabiki wa ccm. Nimefanikiwa kuwashawishi; na sasa kura zote kwa Lowassa.

Vote for UKAWA; vote for Lowassa.
 
Kwenye familia yangu kulikuwa na watu wawili mashabiki wa ccm. Nimefanikiwa kuwashawishi; na sasa kura zote kwa Lowassa.

Vote for UKAWA; vote for Lowassa.

Haya ndio maneno sasa.....
Inapendeza.
 
Mm mshua wangu ni ccm. Naona anaingia chumbani kwangu nakutoka alaf nakuta vitu vimeparanganyika mara droo zimefunguliwa na hanaga hzo. NAona anatafuta kichinjio changu atokomee nacho mana kanishindwa kijana nataka #mabadiliko na kichinjio natembea nacho. Ushauri tunzeni saaana hvyo vichinjio vyenu muda wa lala salama usiamini mtu.
 
Ha ha ha haaaa.....take care hiyo ndio Mbinu iliyompa UBUNGE J..NASARI manake Vijana wakashtukia wazee wengi ni Magamba waliwakomesha sana walikutana na vifyekeo vyao usiku
 
Mm mshua wangu ni ccm. Naona anaingia chumbani kwangu nakutoka alaf nakuta vitu vimeparanganyika mara droo zimefunguliwa na hanaga hzo. NAona anatafuta kichinjio changu atokomee nacho mana kanishindwa kijana nataka #mabadiliko na kichinjio natembea nacho. Ushauri tunzeni saaana hvyo vichinjio vyenu muda wa lala salama usiamini mtu.

Hahahahaaa jirani umenichekesha sana.
Mimi namshukuru Mungu mzee wangu ni mwana mabadiliko,alikuwa gamba lakini kutokana na ushawishi wangu na bro wangu mzee kabadilika,tena anapenda mabadiliko kuliko sisi!
 
Unajua kamanda ndivyo ilivyo Mara nyingi MTU asiejitambua akishauona mwanga yaani anajiona muda mwingi alikuwa anaonekana mijinga so anaongoza yy mapambano Hata tunaobishana nao humu wakibadilika wanakuwa wakali sana
 
Hahahahaaa jirani umenichekesha sana.
Mimi namshukuru Mungu mzee wangu ni mwana mabadiliko,alikuwa gamba lakini kutokana na ushawishi wangu na bro wangu mzee kabadilika,tena anapenda mabadiliko kuliko sisi!

haha dah Natamani siku moja nae abadilike lkn cdhani tushafanya kazi sanaa mbishi uyo. Ila nimemwambia ajiandae tu kisaikolojia kwa lolote mana Ngoyai anachukua nchi hii..
 
Unatakiwa kutusisitizia pia tupime sera za kila mgombea kabla ya kufanya maamuzi sahihi.Kama unadhani mabadiliko ni kubadilisha chama pole sana maana ushindani mkubwa mwaka huu ni baina ya CCM Original (DR. MAGUFULI) na CCM B (CHADEMA - LOWASA).Mgombea wa Chadema amekulia na kulelewa na CCM na alishakuwa mtendaji mkubwa.Ukilitambua hilo pima sera zaidi za viongozi wanaogombea kwa maana mara baada ya uchaguzi kuna miaka mitano ndio tena tupige kura.Miaka mitano inatosha kabisa kutumaliza kwa kupoteza rasilimali zetu kama tutapata kiongozi goigoi.
Kwa hiyo hutaki tubadilishe chama! Utake usitake CCM haitakiwi tena njiii.
 
Wewe huna tofauti na mwana mahaba mwenzio kwa Slaa Mzee Mwanakijiji.
Kisa 'kipenzi' chenu kiliwekwa benchi ndio mnamchukia mzee wangu Lowassa.
Ila jiandae tu,Magufuli hashindi....
Subiri na uone.

Kweli nyie hamumpendi Lowassa; sijui hata kama ni kiu ya Ikulu au kujaribu kumkomoa. I hope atakapofyekwa akienda kuchunga na nyie mwende; si aliko mko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom