Dakika ya 89: Freeman Mbowe 0 vs Halima Mdee 5

Hata mbumbu hujiona mwerevu
 
Wewe mjinga sana yaaani mtu kabeba mpaka wazazi wake huoni huo ni kushidwa kwa haii ya juu sana. Kumsifia Mbowe kama baba yake wa siasa huoni huko ni kushidwa, hao hawawezi kitu nje ya chadema ndiyo maana wanakata rufaa Baraza Kuu.
 
Kumdanganya mdee kushindana na chama chake Cha zamani ni uwongo.Hakuna mtu yeyote anayeweza shindana na taasisi.nimewapongeza kwa kuanza kuutambua ukweli, kina ndugai waliwadanganya....
 
Huu upendo wa Mifisiem kwa covid-19 ni wakushangaza sana. Tokea lini mtesi wako kipindi chote akawa mfariji wako kipindi cha shida???
Haahaa nimekumbuka juzi ndugai akawa anawatetea halima na bulaya eti mbowe anawadhalilisha wanawake, wakati mdee na bulaya wanapigwa na Askari segerea ndugai aliwapongeza Sana wale Askari kwa kichapo kile kwa kina halima.
 
Kafukuzwa Bungeni mara nyingi, kavunjwa mkono, kawekwa ndani mara nyingi, hatukumwona Baba na Mama yake, iweje ambatane nao ni ishara ya kushidwa vibaya sana.
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Mniombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Halafu hii namba sio ngeni, ni juzi tu hapo nilipata meseji kupitia namba hii kua ile pesa nitumie kwenye namba hii na jina la kutolea ni hilo hilo elius ndabila
 
Idiot.
 
ELIUS WILLIAM NDABILA MWANAFUNZI WA UDOM 2010-2013 COED.....KISW & HIST ,haya mambo kaa nayo mbali kaendelee tu kufundisha
 
Huwezi kua na spika mpumbavu na muathirika halafu utegemee ataongea jambo la maana,ccm ni sawa na muuza utumbo lazima nzi wajazane kama nyie
 
Ok Namba ya simu imekwishasomeka endelea kusubiri
 
Nothing! Ahead
 
Ukijiegemeza sana kwenye itikadi za kichama basi hili sakata litakupa shida sana. Kwa sasa huwezi kusema kwamba Halima ameshinda 5 kwa sababu ya hotuba yake. Kama ameshinda kwa nini anakwenda kukata rufaa? Ukweli unao jionyesha kwa mujibu wa hotuba yake kuna mambo ambayo hakubaliani nayo ndani ya kilichokuwa chama chake, na moja wapo ni hili lakutopeleka wabunge wa viti maalum.

Nilivyo elewa mimi Halima na kundi lake walitumia nafasi na umaarufu wao ndani ya chama na nchi kwa ujumla ili kupima upepo kwamba nguvu yao ikoje? Lakini walipogundua ya kwamba nguvu ya samaki ni ndani ya maji wameamua kukata rufaa. Lakini kwa hotuba nzima pamoja na maswali hakuzungumzia chanzo cha mgogoro ulio jitokeza kwa hoja ya kwamba ni mambo ambayo yamo kwenye rufaa yao.
Kwa hiyo usitangaze ushindi kwa Halima wakati hajatoa jibu la nani aliwateua kuwa wabunge viti maalum kupitia CDM. Na kwa sababu hiyo Halima na wenzake si wanachama wa CDM.
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Mniombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Unajua Nchi Hii Wanaotuangusha Ni Wasomi
Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Box 😁😂
Ndiyo Ukweli Wenyewe
😅😄😃😑😎🤔😂🤣😁😀😅😐
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Mbona CCM mnahangaika sana na ya chadema, huo upendo kwa chadema mmeutoa wapi? Au ndio hata shetani hujifanya kuwa malaika wa nuru.
Mbona wanasaccos wakati wa issue za kina Membe, Makamba, Nape n.k. mlikuwa na kiherehere sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…