Dakika ya 89: Freeman Mbowe 0 vs Halima Mdee 5

Umejaa ushabiki na ushakunaku.Halima hakuna mahala popote alisema hatutaomba radhi
 
Kitu pekee cha maana ulichoweka kwenye huu ushuzi wako ni namba ya simu.
 
Mtu anaenda kukata rufaa halafu unasema Halima 5?

Bure kabisa..... Hufai kwa uteuzi na hiyo namba yako ya simu!
Wewe ni mtu mwenye heshima sana hapa jukwaani.....bila shaka wapo wanaonufaika na michango yako!!!!.....

Ongeza ujuzi wa kukabiliana na hoja kinzani au fikra kinzani pasi na jazba!!!!!!...

Ni mtazamo wangu tu...Samahani kama umekwazika
 
Pangu pakavu tia mchuzi katika ubora wako
 
Kwa nini hamjibu swali la Mdee?

Kwa nini 2010 ,2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
 
Huko kwenu kwa wenye 'hekima na maarifa' kuna mtu angekuwa kesha wawekea sumu.
 
Yule amechanganyikiwa baada ya kurukuzwa uanachama. Ulitegemea aje kwenye press conference atukane wakati ameshavunjwa nguvu?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika mavi mavi gani sasa. Na kwataarifa yenu hii press hajibiwi mtu. Tumeshawafukuza waende uko mahkamani wakadai uo uanachama
 
MATAGA mbona mnawashwa sana na CHADEMA?
MATAGA toka lini mkawa na mapenzi na "mzee mdee"?

Tangu lini mmekuwa mnawatakia mema wapinzani, Mawazo, Ben Saa nane, Mwangosi, Akw
 
Mbona CCM mnahangaika sana na ya chadema, huo upendo kwa chadema mmeutoa wapi? Au ndio hata shetani hujifanya kuwa malaika wa nuru.
Kitu ambacho wengi hatukielewi ni kuwa Chama chochote cha siasa ni taasisi ya umma. Hivyo mtu yeyote ndani ya umma huo, ana haki ya kikatiba kuhoji mienendo yake.

Pamoja na mambo mengine, Chama Cha siasa katika utekelezaji wa utawala bora ni lazima kiwe shirikishi, sikivu, chenye uwazi, chenye kuwajibika, kinachozingatia usawa. Kiranja wa kuhakikisha haya yanafanyika ni mwananchi yeyote awaye na katu si wanachama pekee kama watu wanavyojidanganya na ndio maana vyama hivi katika utunzaji wa hesabu hukaguliwa na CAG.
 
Mbona CCM mnahangaika sana na ya chadema, huo upendo kwa chadema mmeutoa wapi? Au ndio hata shetani hujifanya kuwa malaika wa nuru.
😂😂😂🤣🤣
Mnakumbuka kipindi cha Membe kabla ya uchaguzi. Ghafla chadema walikuwa na mahaba mazito na kachero mbobezi.

Sasa leo CCM kumpenda Mdee na wenzake 18 ndio iwe nongwa?

Mpende msipende hao ndio wabunge wenu mpaka 2025. Hapo ni mchakato tu unatafutwa, Halima ni genge lake ni smart kushinda CC ya Chadema mara 10,000.

Nilisema hapa ACT Wazalendo wanaendesha mambo yao vizuri. Leo hata maalim Seif akijiunga SUK Zanzibar hakuna mwanachama atakayepiga kelele kwani hawajatoa mahitimisho mbele ya kamera. Lakini Chadema kabla ya CC kukaa walishatoa matamko ya kipuuzi leo Mdee anapangua hoja kiulaini hapo nadhani alikosa popcorn tu na mtindi baridi wa ASAS kushushia.

Hii gemu Mdee keshshinda asubuhi na atakuwa mbunge kwa miaka 5 akiwa mwananchama wa hiari ndani ya Chadema. Wait and see...... labda Chadema waombe poo ila kwa akili ya Mbeligiji anayedanganywa na Amsterdam hamna kitu hapo.
 
Kama Halima angekua anaijua miiko na katiba ya chama asingeenda kuapishwa gereji bila kupata idhini ya kamati kuu kwa mujibu wa katiba ya Chadema.

Tumeshafukuza huyu muasi ameishia kuchafua combat kwa jasho kwa uoga na aibu.
 
Tatizo siyo kuapishwa,
Mchakato wa juwapata hao Covid 19 ulizingatiwa?
Covid 19 Nani aliwapendekeza?
Hao waandishi walimuuliza maswali Kama hayo?
 
Shetani anapojifanya malaika wa nuru 🌝🌝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…