Pole mkuu ila hapo huoni kwamba mpenzio kaisha ingizwa box na MWINGINE,tuliza akil maana yeye anakula bata we wawa a, jipange kuanza upya but chunguza before ujaamuaHii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wengi sana tuliosema hivyo ...
Naanzaje kuacha kula eti kisa mwanamke hapokei simu yangu??
Acha ujinga mkuu piga chini
Penda mwingine
Hahaha......hiyo ni infatuation mkuu..sio love....tulia wiki mbili hivi utajikuta upo kawaida tuHii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutaki kumuacha basi endelea kujiumiza moyo wako mkuu