Uchaguzi 2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

Hii mihemko huwa ndio siipendagi, Lissu alihojiwa kwenye hicho kipindi cha dk.45 lakini sidhani kama kuna mtu alitaka pia Magufuli ahojiwe.

Sidhani kama wana Ubungo watampigia kura kitila mkumbo kisa tu kahojiwa na kipindi cha ITV
Tunamtaka sana Magufuli ahojiwe tena sio hiyo tu na mdahalo pia uwepo

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1593370

Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila Mkumbo wiki hii ambaye si kiongozi wa CCM.

Tunaamini atakayefuatia wiki ijayo ni Boniface Jacob wa CHADEMA.
Kitila alihojiwa kama Mtu toka idara ya uenezi,Jacob akahojiwe chadema TV uko
 
Back
Top Bottom