Lema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
Humjui ww Lkn [emoji359] anamfahamLema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba Tv zote za nchi hii mwendo ni Itv tu .Taarifa za kiuchunguzi zinadokeza kwamba nchi nzima inasubiri kwa hamu sana muda ufike ili MH LEMA ahutubie Taifa .
Nenda kalaleLema mbona sielewi anachokiongea ni afadhari wangeweka kipindi cha nyimbo za TOT ikiwemo nyimbo ya ccm mbele kwa mbele. Najua mtanuna
Ushaidi wako mkuuHuyu mwizi wa magari ataongea nini zaidi ya pumba tu
Mkuu haitoshi kumkosoa mtu aliyetamka, kwa kukiandika ili kuonesha usahihi. Ingetosha zaidi na wewe ungetamka "value" tukusikie unatamkaje ili tuone kama unatosha kumkosoa lema.Sijui kasoma hadi la ngapi, badala ya kutanka value anasema valve! Makubwa! Si aongee kiswahili tu,