Dakika 20 za kishindo!..

Sio nguvu: Ni ubunifu na hisia.

Sio mbio: Ni mwendo wa taratibu wa kuelewana.

Sio mateso: Ni burudani ya pande zote mbili.

Uwe na Jumanne njema yenye ufundi mwingi na starehe tele, sio "kilimo cha jembe la mkono"!
 
Ndio raha yenyewe
 
Sawa
 
Umenidindisha Kikuma Mzee.....!!
Na Hizi Stimu Za Mpepe+Mseto(Wine Miksa Valuu)
 
Kwamimi Millennial sijaelewa hata song moja ,zote naona makelele tu.

Nilijarajia nipate Slow Jams za Celin/Rkelly/Joe Thomas/Kenny Latimore/Jesica Simpson/Debora Cox/Boys II Men/SWV/TLC/Brown Stones/Destiny's Child na wanaofanana na hao.
 
Nyie wanaume hamna jema,, ukimpatia mwenye hili utamtaka mwenye kile
I attest what I say, nikimpata anayejua hiyo art, mazee hata kama anamapungufu. Labda awe Malaya for that case I can't share na wakurungwa. I'm addicted to that kinda woman, na awe romantic, ajue kudeka, hapo kwisha habari yangu.
 
Huu Uzi nitausoma upya mwezi ujao demu wangu anayesoma ughaibuni akirudi.
 
Mmh
 
Kwamimi Millennial sijaelewa hata song moja ,zote naona makelele tu.

Nilijarajia nipate Slow Jams za Celin/Rkelly/Joe Thomas/Kenny Latimore/Jesica Simpson/Debora Cox/Boys II Men/SWV/TLC/Brown Stones/Destiny's Child na wanaofanana na hao.
Ninao uzi wa R&B nilishaupost humu kitambo msinione mi mshamba na msikariri nyimbo za mahaba lazima ziwe R&B ama soul... Ngoja nikutag kwenye huo uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…