Daisy Kiplagat "Prezzo hamlipii mwanaye ada wala mahitaji ya shule"

Daisy Kiplagat "Prezzo hamlipii mwanaye ada wala mahitaji ya shule"

cc12

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
1,018
Reaction score
397
[h=3]Msanii Jackson Ngechu kimotho makini aka prezzo ambaye alishawahi kuishi na mke wake waliofunga ndoa(pichani hapo chini) ameibuka na kuidai kuwa mume wa zamani hajawahi kuwasiliana nae toka mtoto wao akiwa na miaka miwili[/h][h=3]
10339734_10152350631482279_639443227470452043_n.jpg
[/h][h=3]Mke wake huyo wa zamani amezidi kumponda Prezzo na kumwambia kwamba amekua akienda katika interviews mbalimbali na kudai kuwa amempeleamtoto wake shule nzuri zaidi nchni kenya kumbe hata haja toa ada ya mtoto kumlipia ha nauli ya siku moja kwenda shule ila mtoto huyo anasoma kwa nguvu za ndugu zake na mwanamke huyo [/h][h=3]Mwanamke huyo alizid kuongeza kuwa yeye hataki kuwasiliana naye ila anachotaka watu wajui story za yeye kusema ana muhudumia mtoto ni ndoto [/h][h=3]Kipindi wakati Jackson wanawasiliana na mkewe huyo mkewe anasema kwamba aliwahi kumwambia kwamba amekopa pesa kwa ajili ya kumpeleka shule mtoto na hajui ni wanawake wangapi ambao amewakopa mpaka na ni uongo ganatumia ili wampe hizo pesa[/h][h=3][/h][h=3]I never did and never want to. He borrows money from women I don’t know how many lies he says to them but once I got called by a girl when my daughter was 2yrs and she says he borrowed money to pay my daughters school fees.[/h][h=3]
index11.jpg
[/h][h=3]Ali malizia kwa kusema "mwenye nahitaji alipe kwa uongo alioweza kusema na kupotosha jamii ,na nina shukuru mungu mtoto wangu hamjui baba yake wala shuleni kwao"[/h]
 
Back
Top Bottom