GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 649
Diamond Platnumz, anazidi kujitanua katika nyanja za kimataifa. Katika Album yake inayotarajiwa kutoka Jan 2018. Moja ya kibao ktk Album hiyo ni Baila, ambayo amemshilikisha Miri Ben Ari, Mchawi wa kupiga violin. Nadhani hii itakuwa ni bonge la ngoma.
Pia Mwanamuziki Miri Ben Ari kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka kionjo cha kazi ya baila wakiwa wanatengeneza na diamond platnumz
Unaweza kutazama tazama video ya kionjo hapo chini
Pia Mwanamuziki Miri Ben Ari kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka kionjo cha kazi ya baila wakiwa wanatengeneza na diamond platnumz
Unaweza kutazama tazama video ya kionjo hapo chini