Dah wanawake mnanini jamani?

mara unaogopa smartman ....wengina mara wanapenda smartman..mara sijui ..nini inshort bila uongo hamuelewi..ndio maana kapatikana kalizwa....
 
Waendelee kulizwa tu na hao wanaowachagua;mwanamke anayejitambua hawezi kupata hasara wala kujutia kutoka kwa mpenzi wake kwa sababu katika uchaguzi wake aliangalia hadi mambo ya rohoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom