Dah wanawake mnanini jamani?

Bado unataka kuonekana uko sahihi maelezo ya title usiyachukue kama yalivyo ndani ya uzi huku chini mwisho kuna sehemu amesema
'Sisi'wanawake....
Tayari nae hapo kajiweka kwenye hilo kundi
Usiwe mbishi mkuu
Naww soma kicha cha habari vzr acha kujifanya umesoma vzr
 
Bado unataka kuonekana uko sahihi maelezo ya title usiyachukue kama yalivyo ndani ya uzi huku chini mwisho kuna sehemu amesema
'Sisi'wanawake....
Tayari nae hapo kajiweka kwenye hilo kundi
Usiwe mbishi mkuu

Ungekuwa unajua umuhimu wa title usingeongea kiurahisi tu
 
Bado unataka kuonekana uko sahihi maelezo ya title usiyachukue kama yalivyo ndani ya uzi huku chini mwisho kuna sehemu amesema
'Sisi'wanawake....
Tayari nae hapo kajiweka kwenye hilo kundi
Usiwe mbishi mkuu
Sijasema kuwa mimi sio mwanamke ila asilimia kubwa wadada hasa wajuaji wanapenda sana kuhonga wakaka wazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom