dah! ualimu kazi sana, hebu msikilize huyu denti

Denti yupo sahihi, vinginevyo mwalimu alitakiwa aulize hivi, "nitajie aina tano za wanyama wanaopatikana porini" kidogo ingeleta maana
 
nina wasiwasi huyo atakuwa mdogo wa madenge!!!!!!!!!kweli ualimu wito..........teh teh teh.
 
Denti yupo sahihi, vinginevyo mwalimu alitakiwa aulize hivi, "nitajie aina tano za wanyama wanaopatikana porini" kidogo ingeleta maana

mwanafunzi angetaja
.wanaokula wanyma wenzao
.wanaokula majani
.wanaoishi juu ya miti
.wanaoishi mashimoni na mapangoni
. wanaoishi majini

Je hilo lingekua jibu ulilotarajia .......???
 
we nawe huna tofauti na huyu mwanafunzi

Hakuna aina za wanyama kuna aina za viumbe! Ambazo ni wanyama, wadudu, samaki, ndege, n.k.
Sawa mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom