Siri ya washindi

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,545
14,480
Msituni:
1. Tembo ndiye mkubwa zaidi;
2. Twiga ndiye mrefu zaidi;
3. Mbweha ndiye mwenye busara zaidi;
4. Duma ndiye mwenye kasi zaidi

Hata hivyo, Simba ndiye MFALME wa porini hata bila YOYOTE ya sifa hizi kama Wanyama wengine.
Kwa sababu:

1. Simba ni jasiri, ni shupavu, anatembea kwa kujiamini, anathubutu kufanya chochote na haogopi kamwe.

2. Simba anaamini kuwa hawezi kuzuilika.

3. Simba ni hatari.

4. Simba anaamini mnyama yeyote ni chakula chake.

5. Simba anaamini kuwa fursa yoyote inafaa kufanya majaribio na kamwe hairuhusu kuponyoka kutoka kwenye mikono yake.

Hivyo...

1. Huna haja ya kuwa na kasi zaidi.

2. Huhitaji kuwa na hekima zaidi.

3. Huhitaji kuwa na akili zaidi.

4. Huna haja ya kuwa na kipaji zaidi.

5. Unachohitaji ni ujasiri

6. Unachohitaji ni nia ya kujaribu.

7. Unachohitaji ni imani kuamini kuwa inawezekana.

8. Unachohitaji ni kujiamini, kwamba unaweza kufanya hivyo.!!

Simba hulala kwa saa 20 na hufanya kazi kwa saa 4 na bado hula nyama. Lakini tembo hufanya kazi kwa saa 24 na hula nyasi.

Mkakati wa maisha yako ni muhimu zaidi katika mtazamo wako kuwa bingwa au mshindi kila wakati.

aslan-roar.gif
 
Hawa ni Tembo,Twiga,Simba wa Tarangire karibu Mothercity Safari Co Ltd ufanye utalii wa ndani Tanzania..
 

Attachments

  • 20231209_143814.jpg
    20231209_143814.jpg
    559.8 KB · Views: 1
  • 20231209_144229.jpg
    20231209_144229.jpg
    1,008.5 KB · Views: 1
  • 20231209_154535.jpg
    20231209_154535.jpg
    1.6 MB · Views: 1
  • 20231209_163023.jpg
    20231209_163023.jpg
    412.9 KB · Views: 1
  • 20231209_163033.jpg
    20231209_163033.jpg
    468.5 KB · Views: 1
  • 20231209_164444.jpg
    20231209_164444.jpg
    466.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom