Dah Tazara (Traffic lights) ni junction ngumu balaa

Kremme

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
471
495
Nasema hivyo bse
1. Kuna matrafik kama 100 hasa upande wa mandela road , kama gari lako likiwa na shida utakamatwa tu
2. Gari moja kwenye foleni linachikiwa na traffik kama saba
3. Foleni mtakaa hata nusu saa kwa upande
4. Njia daily zinabadilika
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom