Dah Single Mother Watamu Sana

Wana akili Sana ya maisha na wanajali mwanaume saaaaana

Hata mimi nawapenda saaaaana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nikwambie kitu bro, kila mwanamke ana akili ila matumizi ya akili yake kwa 100% hufanyika pale ambapo hana option zaidi ya kuzitumia hizo akili tu!

Ila akiwa still ana options utazifurahia hizo nyodo zake! Mwanamke awe analipa + chura, hajaolewa ila yupo kwa safe ages bila mtoto mapoz lazma, akiwa na kazi ama biashara ndio dah lazma uutambue uongozi!

Kimbembe akivikosa hivyo (halipi) akawa doro tu huku jioni inaanza kumfika...utashuhudia tabia za malaika duniani!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ manengelo wangu sana! I wish i kudu be IGP!!! Kuna watu wanachezea lulu.
 
Ni nini hasa sababu ya kuwa na frastuations?
 
Jirani zangu hapa wana stress za kufa mtu kwasababu ya ndoa yao (wote mke na mume) hawaelewani mume analalamika mkewe hajampa harage mwaka wa tatu sasa


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hyo kali...!aongee na yf fresh..
 
Ni wazuri kwa kubadilishana mawazo na mahitaji mengine,ila kuhusu kuoa hapana.
 
aisee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwa hiyo tatizo virungu tuu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ