Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
[emoji445][emoji445][emoji24] habari yako bwana boss
Rafiki hali yangu ni mbaya kwa sababu bado natafuta mwenye chura![emoji24][emoji24][emoji24]
Msaada please![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila la heri mzee baba
Nenda voda wana hyo package piaMsaada please!
Wana akili Sana ya maisha na wanajali mwanaume saaaaanaIm proud of my wife she was a single mother ila sasa kwa kuwa nipo nae naenjoy life kuliko nilivyokua na visista du mwitu.
You nailed it bro...respect to all women out there,halafu in reality sisi wanaume ndo tunazingua sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimepitia comment zote nimewajua watu wenye moyo wa kulea watoto wa wenzao kwa huruma na wenye roho ngumu.
Wengine walidhani wakijibebesha mimba wataolewa na huyo mwanaume Atamuacha mkewe aolewe yeye... Karma is realTuwape heshima yao bas jaman kwan wao kuwa single mother its a crime?
Wengine walidhani wakijibebesha mimba wataolewa na huyo mwanaume Atamuacha mkewe aolewe yeye... Karma is real
😁😁😁😁....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni.
Tatizo kubwa Virungu
Sent using Jamii Forums mobile app
To the fullest kwa kutembeza ngenya na kudanga!?Sema ww mkaka...kuna jibwa moja juzi limewatombokea balaa...!huyu hajakutana na masingo mazaz wanaojitegemea kwa kila kitu...utawatamani ww ambaye unajiashua una ndoa!wanaishigi to the fullest..msaidie single maza ajitegemee basi..
Agiza shots za Tequilla ntalipanilikuja gundua mwanamke ukishazaa ndo unasikia raha ya mapenzi...!km hujazaa unaweza hisi unaenjoy kumbe walaa
To the fullest kwa kutembeza ngenya na kudanga!?
Agiza shots za Tequilla ntalipa
....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni.
Tatizo kubwa Virungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna factors nyingi sana zinasababisha single mothers, mf vifo, kuachana, udanganyifu nk nk, kitu ambacho nataka kukuambia ww mleta uzi ni kuwa kama una dada, mtoto wa kike nk hali kama hiyo uitegemee, ni kama kifo, hv unajua kuna ndoa zinadumu muda mfupi na kuachana, usitukane mamba kabla hujavuka mto, una uhakika gani kama ww utatangulia kufa, mkeo si atakua single ? Au haya huyajui ?....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni.
Tatizo kubwa Virungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mie napiga maji safi na salama tu, yanatosha.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] unatumia kinywaji gani mkuu