Ha ha ha aseeehBora kuwa na single mother kuliko midangaji ya Town... Moja nililita ghetto ***** lilifakamia Robertson 5 bila kulewa .. Hapo sijataja bia na kuku.
Papuchi yenyewe hovyo hana vitu kitandani.. Mwisho likanipiga mwiba wa 50,000 eti nauli ya uber , nikamwambia hiyo nauli unaenda kupanda Boeing ya kwenda Malaysia...
Yaani bora single mamaz Mara 78,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kiongozi!!Surely aisee yaan wanafanya utasema wanatokea dunia tofaut na yetu vile.
They are independent Woman na wana maisha yao as long as analea mtoto mwenyewe huyo ni wa maana kuliko Mwanaume aliemkimbia.
Frankly speaking most of them wako na matured mind sana.
Fungua kampuni yako. Achana na mashirika ya umma yaliyoshindikana.....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni.
Tatizo kubwa Virungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Some people need to learn it the hard way
Please never be a single mother. Nothing good can be told about single mothers
usisifie utamu tuu oa kabisa mkuu.siumependa mkuu....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni.
Tatizo kubwa Virungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hawamfikii single motherHuo ni udhaifu tu ..unataka sema wenye ndoa hawana stress[emoji57]
Best punguza munkari.Sema ww mkaka...kuna jibwa moja juzi limewatombokea balaa...!huyu hajakutana na masingo mazaz wanaojitegemea kwa kila kitu...utawatamani ww ambaye unajiashua una ndoa!wanaishigi to the fullest..msaidie single maza ajitegemee basi..
Mkuu naomba unifafanulie vizuri hivyo vya uvunguni ulivyopewa.....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni.
Tatizo kubwa Virungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba unifafanulie vizuri hivyo vya uvunguni ulivyopewa.
Single mother wote mlipo humu naomba siku ya leo mtembee vifua mbere maana sasa hivi mpo kwenye raiti traki.
Maendeleo hayana chama
Mane hata wewe pia upo kwenye raiti traki ya kutubadilishia avatar yako, mara utuwekee jicho, mara kidogo umemuweka bi kiroboto naona leo umetuwekea kifua cha mabadiliko.hahaha
Please never be a single mother. Nothing good can be told about single mothers
Mane hata wewe pia upo kwenye raiti traki ya kutubadilishia avatar yako, mara utuwekee jicho, mara kidogo umemuweka bi kiroboto naona leo umetuwekea kifua cha mabadiliko.
Mabazazi yanakuangalia tu halafu yanasema hiiiiiiiiiiiiii.
Maendeleo hayana chama
Maumivu yameshaisha?[emoji4][emoji4][emoji4]