Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
@mlevi mmoja chupi zinamchanganya
[emoji23][emoji23]kumbe shida sio kutumia kamba yake tatizo ni chupi ndozinazoanikwa aisee
Cc Kingsmann
@mlevi mmoja chupi zinamchanganya
Kumbuka aisee la sivyo .....[emoji22]Nikumbushe babe wangu maana nina ahadi nyingi sana kwako...[emoji5]
Anza kuweka sabuni ya kipande special kwa ajili hiyo
Hahahahaha upo miss chagga?kida lo keku?
We unaona ni sawa zianikwe mlangon kwa MTU[emoji23][emoji23]kumbe shida sio kutumia kamba yake tatizo ni chupi ndozinazoanikwa aisee
Cc Kingsmann
Nafasi yenu unaiuza kwa thamani ya sabuni..?
Ha ha kwaheri...Ndiyo anaweza gharamia