Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
- Thread starter
-
- #41
Yani ni hatar nawaza hata nimwambie au niachePole sana mkuu, sahiv mpenz wa peke ako nafikiri hayupo, usijiumize kama unaona huwez kumuacha mweleze apunguze mabwana mbaki hata watatu, ila kama unaweza piga chini mkuu
Kutongozwa sio shida,ila hapa kwenye hizi chats anatoa ushirikiano mno kiasi cha kusema hata amevaaje akiwa amelalahaya ndo madhara ya kuingilia privacy za watu, hakuna mwanamke asietongozwa hata kama yupo ndoani, kikubwa ni yeye kujiheshimu mbele zako.
Ndy hivyo, cku hz mapenzi ya kwel yapo kw Asilimia chache xana, uaminifu mdogo... Usiyemdhania na kumfikiria ndy huyo huyo anakuja kukusaliti.Kaka unadhani hata mimi natumia nguvu basi
Yani yeye ndo kanishawishi nimuone kama ananifaa kuliko wengine wote,kumbe ni yale yale
Usikute ni rafiki zake tu wa kawaida au ni kweli wanamsumbua ila hana mahusiano nao.Ndy hivyo, cku hz mapenzi ya kwel yapo kw Asilimia chache xana, uaminifu mdogo... Usiyemdhania na kumfikiria ndy huyo huyo anakuja kukusaliti.
inapenza zaidi kaka mkubwa itabidi tuige kwakoMimi kila demu ninayegonga lazima nimwambie kuwa Mimi napenda pull kuliko nikupendavyo, ukinizingua kidogo tu imekula kwako
kutoa ushirikiano haimanishi kua huo ndo ukweli wa moyo wake, ke nao ni kama sisi unaeza kua na watu 20 bt ukweli wa moyo unajua ni yupi umpendae hivo hupaswi mhukumu ajili ya ushirikiano huo maana hata wewe unapotongoza usio wapenda huwapa ushirikiano hata kama ni kwa kuigizaKutongozwa sio shida,ila hapa kwenye hizi chats anatoa ushirikiano mno kiasi cha kusema hata amevaaje akiwa amelala
Mojawapo naona anasisitiza anampenda sana jamaa kama ambavo huniambiaUsikute ni rafiki zake tu wa kawaida au ni kweli wanamsumbua ila hana mahusiano nao.
Labda tupe mfano wa hizo msg zinazungumzia nn!??
Hasa hapa kosa langu lipiShida ni kwamba watu hamjiamini, na kama Mwanaume halafu haujiamini Mwanamke anaona haraka sana na kukudharau, ukiwa mtu wa kujiamini uta-date mademu wanaojiamini pia na hivyo kuwa na Mahusiano bora na ya kudumu yaliyo na heshima na shaha, sasa swali linakuja unawezaje kujiamini kama Mwanaume? Siyo rahisi kihivyo kwani ni swala la malezi kama ulilelewa na baba asiyejiamini na asiyemwamini Mke wake uwezekano wa wewe kutokujiamini ni mkubwa sana, ...
Kaka mm mwenyewe sas HV nimepewa Taarifa mbaya Sanaa mwanamke ambaye nilitazamia nimuoe januari mwakan nimepewa Taarifa kuwa yuko kwao na anaujauzito ..na kwa taakriban miez mitatu nyuma huyu mwanamke alikuwaa akinikwepa kwepa kumbe alikuwaa na Jambo lakeWakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi
ireen ni jina la mtu au ndo kitu gani mkuu?Mbona wewe hujaachana na neema, asha na ireen?
Hasa hapa kosa langu lipi
ataowa vip mwanamke mwenye wanaume 11 hiyo nitimu ya mpira kasoro rizevu tu inaonyesha hata wewe una msururu tu mnaambiwa sitirini tupu zenu ila mtu unakubali kila atakae unamvulia nguoUnataka awe na wewe tu je ukifa? Umefikiria hilo? We muoe mueke ndani
Dah! poa tukutoa ushirikiano haimanishi kua huo ndo ukweli wa moyo wake, ke nao ni kama sisi unaeza kua na watu 20 bt ukweli wa moyo unajua ni yupi umpendae hivo hupaswi mhukumu ajili ya ushirikiano huo maana hata wewe unapotongoza usio wapenda huwapa ushirikiano hata kama ni kwa kuigiza