Dah! No true love


Mwisho wake ni tarehe 28 tuuu usisahau hawezi kukufanya wewe ni mjinga kiasi hicho

hahaaaaaaaaaaaa jokes
 
Usishike simu ya mpenzi wako.

Wife alishika ya kwangu ndani kukawa na bifu la wiki mbili nzima. Sema nikiwa kama kidume sikosi cha kujitetea na mambo yameisha. Nikamuonya sio vizuri tushikiane simu.

Simu simu weeeee
Ni kiama inaumiza moyo sana,unajihisi hopeless kabisa
 
Pole sana mkuu, sahiv mpenz wa peke ako nafikiri hayupo, usijiumize kama unaona huwez kumuacha mweleze apunguze mabwana mbaki hata watatu, ila kama unaweza piga chini mkuu
 
Kila siku mnaambiwa ukimpenda mtu usimpende kw moyo wote hamsikii... Ukiona unatumia nguvu kubwa kumpenda mtu ujue upo kwny wrong relationship.. na siku zote mtu aliyejitolea xana kumpenda mtu ndy mwisho wa siku anaumia yy.
Kaka unadhani hata mimi natumia nguvu basi
Yani yeye ndo kanishawishi nimuone kama ananifaa kuliko wengine wote,kumbe ni yale yale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…