Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Wakuu
Naandika ujumbe huu mapigo ya moyo yakiwa kasi kama mashindano ya Marathoni
Niko napitia hapa sms kwenye simu ya mpenzi wangu(kike) nimeitoa leo kwa fundi ilipata tatizo flan,Dah yani siamini kama ndo huyu Moyo wangu ulokua tayari kuacha ukapela kwa ajili yake.
Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi