Dah! Mwanangu watakuwa wamemroga aisee

Huyo jamaa anaweza kuwa wakala wa kipepo katika shughuli zako, We endelea kumshawishi mtu ambae huitaji ata elimu ya darasa la nne kujua kwamba hataki, utakuja kupigwa tukio halafu utatamani unifiche na uso wa dunia.
 
ushauri mzuri, nitaufanyia kazi
 
Ni kwamba huyo mtu anayeelezea Conscious mind na subconscious mind yake vimewekewa uzio kwa kutumia Dark spells so hazina ushirikiano cha msingi ni kuondoa huo ukingo kwenye mind yake (I call it Clearing cookies and caches)
unaondoaje hizo mkuu ?
 
Ana umri gani?
 
we ndo umeongea point.. huyo hajalogwa ni kakosa motivation tu na self drive.
 
This topics might give you a heads-up.
 
Mpotezee
 
Yani vurugu vurugu
 
Wewe ndio umelogwa.

Unataka umsaidie mtu asiyetaka, unataka umsaidie mtu aliyekuzidi mtaji?

Yeye anakuona Kama unajipendekeza tuu umnyonye
 
Hakuna kurogwa, ni life amechagua. We cha kufanya mlangue hivyo vifaa vya kazi halafu tafuta mtu wa kazi ufungue ofisi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…