The Salt
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 391
- 1,038
Kwanza Bro una roho ya Kipekee...niseme una roho ya Kitajiri na umewaza sana mbali kuona kabisa kuwa hii hali sio ya kawaida.
Jamaa ana pepo mchafu anamzibia riziki tu! Haya mambo kwa sisi wahangaikaji tunakutana nayo sana either kwa kujua ama kutojua. Msaidie kama bado una access naye!
Dah! Mungu akubariki pia
Jamaa ana pepo mchafu anamzibia riziki tu! Haya mambo kwa sisi wahangaikaji tunakutana nayo sana either kwa kujua ama kutojua. Msaidie kama bado una access naye!
Dah! Mungu akubariki pia