hakuna matata2
Member
- Sep 25, 2021
- 23
- 22
Upo sahihi sana. Na mimi nilimjibu hivyo hivyo.Mbona inaonekana wewe ndo umelogwa? Kwanini ulazimishe kuteam up na mtu hahitaji ushirika?

yani dah!!Upo sahihi sana. Na mimi nilimjibu hivyo hivyo.
ushauri mzuri, nitaufanyia kaziHuyo jamaa anaweza kuwa wakala wa kipepo katika shughuli zako, We endelea kumshawishi mtu ambae huitaji ata elimu ya darasa la nne kujua kwamba hataki, utakuja kupigwa tukio halafu utatamani unifiche na uso wa dunia.
unaondoaje hizo mkuu ?Ni kwamba huyo mtu anayeelezea Conscious mind na subconscious mind yake vimewekewa uzio kwa kutumia Dark spells so hazina ushirikiano cha msingi ni kuondoa huo ukingo kwenye mind yake (I call it Clearing cookies and caches)
atupe elimu aseunaondoaje hizo mkuu ?
Habari zenu wajuzi wa mambo.
Kunamwana angu mmoja nimejuana nae toka 2016 kipindi hicho tulikua nafanya nae kazi pamoja mtaani. Tukaja potezana mimi nikaendelea na ishu zingine, yeye akawa anaendeleza harakati.
Year 2020 nikarudi tena kwenye harakati nilizokua nafanya nae. Mshikaji nilimkuta yupo nje ya reli mambo hayakua mazuri kwake, nikaona isiwetabu nikamuambia tu team up kama zamani. Ikiwa mimi nita-finance kila kitu iliturudi kwenye reli.
Vikao tukawa tunakaa tukiseti mipanga ya nini kifanye mara kadhaa ikiwemo kufungua ofisi na kupeana majukumu ya kila mmoja cha kufanya, ila changamoto iliyokua inaibuka nikuwa pale tu tunapoaachana jamaa alikua hapatikani kwenye simu na akipatikana hapokei sometimes mpaka wiki mbili zinapita jamaa ndio anakuja kupokea simu.
Baadae ya hapo the cycle continues, tunapanga Mipango time ya utekelezaji jamaa haipatikani kwenye simu na kutokupokea. Imekua ivyo since 2020 June - Dec duh nikaona mwana hayupo tayari nikaachana nae hii ilitoea baada ya jamaa kutokupokea simu zangu kwa miezi miwili mfurulizo.
2021 Jan nikawa nimepata ishu nyengine nikahamia mkoa nakuamia mkoa B.
Nimekaa mkoa B For 6 months, bila kucontact na mshikaji. Ila katikati ya mwezi wa 6 nikapata some really potential information ambazo zingeweza kutuboost kwenye ile mishe/harakati. Kwa kuwa yeye yupo mtaa na ofcourse hanamishe to date. Nikaona isiwe mbaya nika-share nae. Nae akasema kuwa iliishu tuipange nyema na inoge inapidi yeye aje mkoa B nilipo.
Bhana wewe napo ikawa ni ishu tena ikawa nakuja siku fulani, siku iyo ikifika jamaa hapokeii simu zinapita hata wiki 3 ndio anapokea.
Nikamtumia nauli, napo hali ikaendelea kuwa vile vile. Chakushangaza ni kuwa jamaa anaequipments za kufanyia harakati zenye thamani zaidi ya millioni 3.8 na vyote hivyo kaviweka ndani mimi sijainvest chochote ila strategies na porojo za kupata wateja tu.
I was wondering kwa kweli , kunasiku nilipata client nikamseti vizuri tu kuwa ofisi zetu zipo mkoa A , kuwa mteja afike mkoa aliopo mshikaji wakutane wa-close the deal. Ila story ikarudi kuwa ileile baada ya mi kumpa contact za mteja tu. Jamaa akawa hapatikani kwenye simu tena as usually. Jamaa Aliachia deal la zaidi ya 2m likapita I was like what!! I didn't believe what happened.
Mwezi huu nilifika mkoa A alipo mshikaji nakukutanana nae. Mshikaji nakutanana nae analia njaa tu yupo kijiwe cha betting akizichambua vyema odds za mechi mbali mbali za afrika na kimataifa, kweli hata out look yake ilikua hainanuru.
Nikamdadisi labda mshikaji anaishu nyengine, wapi hana daily nikushinda betting house. Nikafika hadi kwake equipments nikazikuta zipo tu yani zaidi ya 3.8m imelala ghetto. Mwamba hana habari yupo bize na betting af chakushangaza hata pesa ya betting nayo yakuunga unga.
Before sijaondoka mkoa A, kurudi mkoa B nikakaa vikao na mshikaji jinsi ya kupata chochote kwenye ujuzi tulio nao. Moja ya mkakati ilikua ni kuanzisha ofisi ya mfukoni na mambo mengine.
Jamaa nikamuachia pesa kidogo ya matumizi na vitu baadhi vyakufuatilia ikiwemo muhuri tu, huwezi amini simu azijapokelewa tena mpaka timu hii naandika uzi huu na ni wiki 2 sasa zimepita.
Ase nimeshindwa kuelewa kuwa huyu jamaa anashida gani.
Wataalum wenye analysis nzito za ulozi
Hii imekaaje inawezekana jamaa wakawa wamroga au ni wenge lake binafsi?
mid 30`sAna umri gani?
basi kuna shida mkuu...mid 30`s
we ndo umeongea point.. huyo hajalogwa ni kakosa motivation tu na self drive.Kuna watu wanasumbuliwa na kukosa "motivation" from within, anakuwa haoni purpose ya maisha yake. Anaona hata nikifanya hiki sawa, hata nisipofanya pia sawa. Hapangi chochote kuhusu future yake anakua yupo yupo tu.
Ataenda hivyo hivyo then ataingia kwenye depression, anahitaji msaada it's more psychological.
Sijui kuhusu kulogwa lakini hii hali inaweza kumtokea mtu ambaye amekuta na disappointment kubwa katika kipindi fulani cha maisha yake. Unahitaji kumpush kwa maneno ya kumtia moyo na kumtia nguvu, Pole yake.
Wewe ndo unae jua anamaisha ya aina gani mpaka akukatae kama kajichokea jua wazi kama kavurugwa ni yako kumchomoa au layani dah!!
MpotezeeHabari zenu wajuzi wa mambo.
Kunamwana angu mmoja nimejuana nae toka 2016 kipindi hicho tulikua nafanya nae kazi pamoja mtaani. Tukaja potezana mimi nikaendelea na ishu zingine, yeye akawa anaendeleza harakati.
Year 2020 nikarudi tena kwenye harakati nilizokua nafanya nae. Mshikaji nilimkuta yupo nje ya reli mambo hayakua mazuri kwake, nikaona isiwetabu nikamuambia tu team up kama zamani. Ikiwa mimi nita-finance kila kitu iliturudi kwenye reli.
Vikao tukawa tunakaa tukiseti mipanga ya nini kifanye mara kadhaa ikiwemo kufungua ofisi na kupeana majukumu ya kila mmoja cha kufanya, ila changamoto iliyokua inaibuka nikuwa pale tu tunapoaachana jamaa alikua hapatikani kwenye simu na akipatikana hapokei sometimes mpaka wiki mbili zinapita jamaa ndio anakuja kupokea simu.
Baadae ya hapo the cycle continues, tunapanga Mipango time ya utekelezaji jamaa haipatikani kwenye simu na kutokupokea. Imekua ivyo since 2020 June - Dec duh nikaona mwana hayupo tayari nikaachana nae hii ilitoea baada ya jamaa kutokupokea simu zangu kwa miezi miwili mfurulizo.
2021 Jan nikawa nimepata ishu nyengine nikahamia mkoa nakuamia mkoa B.
Nimekaa mkoa B For 6 months, bila kucontact na mshikaji. Ila katikati ya mwezi wa 6 nikapata some really potential information ambazo zingeweza kutuboost kwenye ile mishe/harakati. Kwa kuwa yeye yupo mtaa na ofcourse hanamishe to date. Nikaona isiwe mbaya nika-share nae. Nae akasema kuwa iliishu tuipange nyema na inoge inapidi yeye aje mkoa B nilipo.
Bhana wewe napo ikawa ni ishu tena ikawa nakuja siku fulani, siku iyo ikifika jamaa hapokeii simu zinapita hata wiki 3 ndio anapokea.
Nikamtumia nauli, napo hali ikaendelea kuwa vile vile. Chakushangaza ni kuwa jamaa anaequipments za kufanyia harakati zenye thamani zaidi ya millioni 3.8 na vyote hivyo kaviweka ndani mimi sijainvest chochote ila strategies na porojo za kupata wateja tu.
I was wondering kwa kweli , kunasiku nilipata client nikamseti vizuri tu kuwa ofisi zetu zipo mkoa A , kuwa mteja afike mkoa aliopo mshikaji wakutane wa-close the deal. Ila story ikarudi kuwa ileile baada ya mi kumpa contact za mteja tu. Jamaa akawa hapatikani kwenye simu tena as usually. Jamaa Aliachia deal la zaidi ya 2m likapita I was like what!! I didn't believe what happened.
Mwezi huu nilifika mkoa A alipo mshikaji nakukutanana nae. Mshikaji nakutanana nae analia njaa tu yupo kijiwe cha betting akizichambua vyema odds za mechi mbali mbali za afrika na kimataifa, kweli hata out look yake ilikua hainanuru.
Nikamdadisi labda mshikaji anaishu nyengine, wapi hana daily nikushinda betting house. Nikafika hadi kwake equipments nikazikuta zipo tu yani zaidi ya 3.8m imelala ghetto. Mwamba hana habari yupo bize na betting af chakushangaza hata pesa ya betting nayo yakuunga unga.
Before sijaondoka mkoa A, kurudi mkoa B nikakaa vikao na mshikaji jinsi ya kupata chochote kwenye ujuzi tulio nao. Moja ya mkakati ilikua ni kuanzisha ofisi ya mfukoni na mambo mengine.
Jamaa nikamuachia pesa kidogo ya matumizi na vitu baadhi vyakufuatilia ikiwemo muhuri tu, huwezi amini simu azijapokelewa tena mpaka timu hii naandika uzi huu na ni wiki 2 sasa zimepita.
Ase nimeshindwa kuelewa kuwa huyu jamaa anashida gani.
Wataalum wenye analysis nzito za ulozi
Hii imekaaje inawezekana jamaa wakawa wamroga au ni wenge lake binafsi?
Yani vurugu vuruguInawezekana anakukaushia tu kwakua unampa dili za kiwaki au kagundua wewe ni opportunist unamfata fata kwasababu umeona hzo equipment au na yeye anakuona ww ndo umelogwa alaf na ww unamuona yeye ndo chenga
Wewe huku unamtafutia dawa na yeye huko anakutafutia dawa
Ha ha haMbona inaonekana wewe ndo umelogwa? Kwanini ulazimishe kuteam up na mtu hahitaji ushirika?
😀🤣Pambana na maisha yako..achana na huyo mwehu.