Dah Mimi na chupi hizi mbalimbali

Dah Mimi na chupi hizi mbalimbali

Ni kweli. Tafuta siku nyingine kabisa unawezs kumuambia napenda chupi za design flan. Au mnunulie design unayopenda mpelekee. Ataacha kununua usizozipenda!
asante mpendwa ntafanya hivyo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hamtaki wake zenu wake sexy chumbani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee. Ila mtu mnaye share kitanda unashindwa nn kumwambia usichokipenda?

Mrs Van
 
Kwa demu ninayempenda, hata kama angevaa Chupi ya Gunia, Asu mbishi atasimama tu.
Ushauri wangu;
Muone daktari mapema, utakuwa na matatizo madogo madogo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hamtaki wake zenu wake sexy chumbani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee. Ila mtu mnaye share kitanda unashindwa nn kumwambia usichokipenda?

Mrs Van

Mrs Van we zako zipi?
 
Chupi za chandarua ndio zikoje jamani!
umeuliza kama mimi nilivyo jiuliza, itabidi aweke picha maana sisi wengine wageni,
images
 
Duh Pole sana uo ugonjwa inabid huutafutie tiba mwanaume mashine unatakiwa ukiona tu maungo ya siri Network iwe fulllllllllll
 
ngoja nizitafute kwa hawa mabinti labda na mimi nitajua kwanini unazichukia
 
Ki Ukweli mi pia hazinivutii kabisa " sjui nmwambieje wife jinsi ya kuachananazo bila ya kujiskia vbaya " maana namuona amezchukua kwa fujo kweli

Post sent using JamiiForums mobile app
dah,kitu kikiwa kimenyolewa afu kipo ndani ya chandarua,mungu jaalia kiwe kimevimba..kinatia mshawasha sana
 
Cocochanel mbona kama unayo na wewe, maana comment yako tu inashawishi umo kundini

Eeeeeeh kumbe ndio unawanunulia hizo.. umezijuaje!?.. rusha picha nizione... hajui mwanamke hewa muhimu shaaaaa

Pia Ulitaka nimuambie nini haswaaaa!!!

Awaambie wavae bikini za kataki basi... umefurahi?
 
Back
Top Bottom