ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 950
Pengine una hamu ya kuangalia Tamthilia za Nyumbani ila wanapojaribu kuweka tasfiri ya lugha ya kigeni ni vyema wakatafuta mtaalamu wa lugha hiyo na sio kutumia watu holela.
Hivi ni vipande tu vya "subtitles" toka katika Tamthilia ya " NAKWENDA KWA MWANANGU" Msanii Maarufu Jacob Stephen (JB) akimshirikisha Amri Athumani (Mzee Majuto)
Mzee Majuto ni mzee mhuni wa Kupindukia anaeamua kwenda Mjini kumfuata Mwanae aliyemtelekeza "JB" Joshua Kamba"
Pata tafsiri mwenyewe kwa kithungu kilichotumika.......Grammar ni shida!! HIYO Clip ya Kwanza anauliza "unataka kusema wewe ni maarufu hapa??? ( familiar vs familian); (lesson vs leason"),
Hiyo inayosoma "No one Doesn't know me in this Village", back in a days I used to be a footballer" kwa kiswahili chake Mzee majuto anasema "Hakuna ambae hakunifahamu mimi enzi hizo katika kijiji hiki kutokana na umaarufu niliokuwa nao wa kucheza mpira"
Hiyo inasoma " You mean there is a away out here" kiswahili jamaa anauliza "Kwani hakuna nyumba zozote kule?"
Mtu anasema

Attachments
-
DID HE DO THIS.jpg68.3 KB · Views: 186 -
FAMILIAN.jpg69.7 KB · Views: 174 -
FAMOUS.jpg51.2 KB · Views: 142 -
IS HE YOUR DEBTOR.jpg62.7 KB · Views: 138 -
MADAFU.jpg78.1 KB · Views: 141 -
NIENDELEE.jpg32.5 KB · Views: 132 -
NO ONE DOESNT KNOW.jpg39.7 KB · Views: 130 -
TEACH LEASON.jpg51.9 KB · Views: 371 -
TRY LISTERNING.jpg47.1 KB · Views: 111 -
WAY OUT.jpg46.4 KB · Views: 130 -
WASANII.jpg46.6 KB · Views: 144 -
WILL TAKE YOU.jpg63.7 KB · Views: 126